Hongera Freeman Mbowe kwa kauli ya kishujaa

Hongera Freeman Mbowe kwa kauli ya kishujaa

Ha ha ha haaaaaaaa

Anawapima nyie wenyewe kwenye chama lenu lililo futi 6 mnapojichimbia

Kataja CCM kufunika tu na pia bila kutaja hasingepata kiki.. fikirieni nje ya boksi sio mnakuwa wazuzu wake kila mara.. mko kama 👻👻👻

Jipongeze kwa kuwa ZUZU maana hujaanzisha nyuzi muda murefuuuu eeeeeh

Jipige vibao ulie kabisa 💀
You should be concerned that your brother Daudi Albert Bashite anazidi kunenepa makalio tu!
 
Uelewa wako ndiyo umekufanya kuongea haya
Uongozi ni heshima sio utumwa, kutumikia watu ni heshima sio utumwa. Mao aliwahi kusema “A’s politician we have to give systematically to the people what we receive from them confusedly”. Tuwape wananchi kwa mpangilio tokana na yale tunayoyapokea toka kwao kwa mchanganyiko. Kiongozi akiona uongozi ni mzigo inaashiria amechoka apumzike.
 
Siku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556

Wakisema wa-Tanzania, siyo CHADEMA. japo CHADEMA wanayo legacy ya kumwambia mwenyekiti atoke, ila wa-Tanzania ndiyo wana legcy kubwa zaidi kuliko CHADEMA. CHADEMA is just a subset ya wa-Tanzania. CHADEMA ni ya wa-Ttanzania
 
You should be concerned that your brother Daudi Albert Bashite anazidi kunenepa makalio tu!

Unayemuongelea simfahamu

Na pia wewe ukiwa kama ME acha wivu kwa kuishia kuandika kama hayo.. juu ya mwanaume..
 
Siku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556

Wooh!!

These are very strong words with very painful message...

NB: Ni vyema huyu Bwana aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA at least kwa muda huu wa uongozi wa hovyo wa Magufuli kama Rais wa Tanzania...

Freeman Aikael Mbowe akiiachia CHADEMA kipindi hiki eti kwa kelele za wanaCCM, ni kumpa Magufuli na CCM yake ushindi wa mezani.....

Mzee Mbowe, siku hiyo ukitangaza tu kuwa umeiacha CHADEMA, jiwe atakuwa *live" kwenye TV na Radio zote akihutubia kwa tambo na kesho yake kwa mara ya kwanza "Inglishi" itapanda kwenye "medula oblangata" yake na atasafiri kwenda Marekani kwa Donald Trump ama UK kutafuta wawekezaji wa Stiglers Gorge!!

Na mimi, nakuunga mkono kabisa ktk hili. Kwamba kwa kuwa CCM ndiyo wanasema uondoke, basi hakuna kuondoka....

Ikifika wakati wanaCHADEMA wakisema, pumzika Mzee.....basi ruksa kabisa. Tens hutafanya hiyo sherehe wewe, tutakufanyia sisi wapenzi wa CHADEMA sherehe hiyo!!

Kwa sasa endelea tu kuubeba "utume" na "msalaba" huo mpaka Jiwe amalize yote ile 1.5T aliyoichukua ktk hazina yetu kuua vyama mbadala....ama la wakupige risasi kama Tundu Lissu ili iwe ndiyo mwisho wako maana ndiyo "option" pekee waliyo nayo hawa hawa kina "CocoChanel" ....!!
 
Siku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556
Aweke mazingira (mechanism) ya kuambiwa. Watamwambia kwa njia gani? Kuhama kwa wabunge na baadae wakachaguliwa tena ni namna kubwa ya kuambiwa.

Madikteta hata wote hutoa kauli kama hii. Nimewekwa na wananchi wa nchi yangu na siku wakitaka niondoke nitaondoka ila namna watakavyosema hawapewi.

Mbowe aache usanii wa kucheza na maneno
 
Haikuhusu maana wewe ulishapewa taraka
 
Acha tu imwogope ila mpaka inafika 2020 mtakuwa mmeshalielewa somo vizuri, maana nyumbu huwa wagumu sana kujiongeza
Uko sahihi kabisa.... manyumbu hayana tofauti sana na nguruwe pori. Tofauti yao moja ni kuwa haya yanafuatana kwa pamoja wakati haya manguruwe mwitu yenyewe yanagugumia maumivu ya kutafunwa na Simba kimyakimya.

Manyumbu yanapatikana Ufipa na manguruwe pori yamejazana pale Lumumba.... Yote yanatafunwa na Simba lakini yanachekana bila kujua yote ni kitoweo cha Simba mjanja.
 
Siku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556

Mwanaume wa shoka huyo; long live Freeman Mbowe, ccm kama hawakutaki wakasage chupa wanywee wewe ni CDM chairman for life, watake wasitake na wao waendelee na vichaavichaa wao dumu daima
 
Amina Amina Amina
Mwanaume wa shoka huyo; long live Freeman Mbowe, ccm kama hawakutaki wakasage chupa wanywee wewe ni CDM chairman for life, watake wasitake na wao waendelee na vichaavichaa wao dumu daima
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Siku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556
CCM hawatanyamaza kamwe kusema aachie uenyekiti, kwa hiyo anatutangazia kiaina kwamba yeye ni mwenyekiti wa maisha CHADEMA!
Tumekusoma vizuri mheshimiwa (mwenyekiti wa maisha CDM)!
 
Kitego cha MK wa chama cha upinzani ni kigumu sana, lakini kutunza DEMOCRACY , usawa, ushirikiano kwenye maamuzi, kutokuwa na siasa za ukanda na upendeleo, ufujaji wa pesa ndani ya chama unachokiongoza ni kosa kubwa.

Give DEMOCRACY AND FAIRNESS kwa wanachama na viongozi wenzako
 
Kumbe chadema ni utume na msalaba? Kwa hyo ni kanisa la kiinjili la Chadema sio eeh.... Sisi haituhusu
 
Back
Top Bottom