Hongera Freeman Mbowe kwa kauli ya kishujaa

Hongera Freeman Mbowe kwa kauli ya kishujaa

Zama za kusifia kauli zimeshapitwa na wakati
 
Huyu baba akiondoka kua mwenyekiti au katibu Mkuu, siasa za upizani ndo basi.....wengi wana njaa na pia nimasikini, hawana background ya kumiliki pesa watauza Chama
Mkuu pointi watu njaa .watauza chama tumeshudia wabunge waunga mkono
 
Waitara siku hizi ana walinzi toka kwenye kodi zetu
Kama alishaguliwa na wana-Ukonga kwa asilimia zaidi ya 70 kama inavyodai tume ya uchaguzi, ana hofu ya nini? Huyu Waitara ana tabu sana... Akifika 2020, hata kampeni atashindwa kufanya, kwa kuwa kila mtu (pamoja na jiwe) atakuwa anapambana na hali yake. Hatakuwa na wa kwenda kumshindisha tena kimababvu.
Kwa sasa apewe panado za pole atulize maumivu na aibu. Ipo siku atajuta kuwafahamu CCM.
 
Wakusema Mbowe ondoka wote walishatimuliwa chamani. Kumebakia misukule tu
 
Kama alishaguliwa na wana-Ukonga kwa asilimia zaidi ya 70 kama inavyodai tume ya uchaguzi, ana hofu ya nini? Huyu Waitara ana tabu sana... Akifika 2020, hata kampeni atashindwa kufanya, kwa kuwa kila mtu atakuwa anapambana na hali yake. Hatakuwa na wa kwenda kumshindisha tena kwa maabvu.
Apewe tu pole. Ipo siku atajuta kuwafahamu CCM.
Hata mwenyewe anajua kuwa 2020 ndiyo mwisho wake ndani ya ccm maana yeye ni mhamiaji haramu sasa kuna wazawa
 
Ha ha ha haaaaaaaa

Anawapima nyie wenyewe kwenye chama lenu lililo futi 6 mnapojichimbia

Kataja CCM kufunika tu na pia bila kutaja hasingepata kiki.. fikirieni nje ya boksi sio mnakuwa wazuzu wake kila mara.. mko kama [emoji317][emoji317][emoji317]

Jipongeze kwa kuwa ZUZU maana hujaanzisha nyuzi muda murefuuuu eeeeeh

Jipige vibao ulie kabisa [emoji88]
Kuwashwa mzuti sio ugonjwa mzuri wahi ukatibiwe
 
Mbowe Mjanja Sana

Kawafanya muamini bila ya Mbowe hakuna Chadema Na Hilo Kafanikiwa

Kapu la Mjanja Mjinga hatii mkono
kwani ww kama mwana CCM mbowe anakuathiri nini kwa kuendelea kuwa mwenyekiti?
 
Wakusema Mbowe ondoka wote walishatimuliwa chamani. Kumebakia misukule tu
Empty brain at work.
CCM imeuza rasilimali zote za nchi, na sasa imehamia kudumaza akili za wanachama wake. Sijui kwanini CCM inawatendea vibaya hivyo wanachama wake. Unastahili maombi maalum ili uweze kujitoa kwenye hilo shimo la choo(CCM) ulikotumbukia. Tunazidi kukuombea labda akili zako zitakurudia.
 
Back
Top Bottom