Hongera Freeman Mbowe kwa kauli ya kishujaa

Hongera Freeman Mbowe kwa kauli ya kishujaa

Liccm lenu limesha tekwa na mbabe wenu sasa hivi mmekuwa kama vibogoyo hata kukohoa mnaogopa
Kitego cha MK wa chama cha upinzani ni kigumu sana, lakini kutunza DEMOCRACY , usawa, ushirikiano kwenye maamuzi, kutokuwa na siasa za ukanda na upendeleo, ufujaji wa pesa ndani ya chama unachokiongoza ni kosa kubwa.

Give DEMOCRACY AND FAIRNESS kwa wanachama na viongozi wenzako
 
Hutaki kajinyonge
CCM hawatanyamaza kamwe kusema aachie uenyekiti, kwa hiyo anatutangazia kiaina kwamba yeye ni mwenyekiti wa maisha CHADEMA!
Tumekusoma vizuri mheshimiwa (mwenyekiti wa maisha CDM)!
 
Nani sasa atakuambia..maana yoyote atakayejitokeza utakimbilia chako lako la siku zote kuwa msaliti..katumwa na ccm..
We endelea kupiga bwana..kodi ya pango, deni lisiloisha, madeni ya magari, kuwatweza utu wao wabunge wa kike..
Mtapiga porojo zote wana CCM lakini Mbowe ni chaguo letu
 
Back
Top Bottom