Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,119
- 32,965
Mashinji bado yupo, hamna shida.Utajua wewe
Mashinji bado yupo, hamna shida.Utajua wewe
Hiki kiswahili ulichoandika humu ni makusudi au ni kutuonyesha kuwa kale kaelimu ulikokapata shule ya kata hakaswihi? Kwa mwandiko huu, haiyumkini unakatikiwa! Maliza hiyo shughuli urudie kuandika upya!Ha ha ha haaaaaaaa
Anawapima nyie wenyewe kwenye chama lenu lililo futi 6 mnapojichimbia
Kataja CCM kufunika tu na pia bila kutaja hasingepata kiki.. fikirieni nje ya boksi sio mnakuwa wazuzu wake kila mara.. mko kama 👻👻👻
Jipongeze kwa kuwa ZUZU maana hujaanzisha nyuzi muda murefuuuu eeeeeh
Jipige vibao ulie kabisa 💀
Chadema kwisha kazi yenu.Kwa post yako umewadhalilisha sana wana ccm wenzako
Ccm wanataka mwenyekiti awe kama mrema cheyo dovutwa lipumba.Mapambano bado Mbowe maliza kazi kwanza ya kumtoa mkoloni mweusi ccmSiku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556
½IQHa ha ha haaaaaaaa
Anawapima nyie wenyewe kwenye chama lenu lililo futi 6 mnapojichimbia
Kataja CCM kufunika tu na pia bila kutaja hasingepata kiki.. fikirieni nje ya boksi sio mnakuwa wazuzu wake kila mara.. mko kama [emoji317][emoji317][emoji317]
Jipongeze kwa kuwa ZUZU maana hujaanzisha nyuzi muda murefuuuu eeeeeh
Jipige vibao ulie kabisa [emoji88]
Hafiki bei tatizoHivi sasa CCM wanamwogopa Mbowe kuliko wanavyoiogopa CDM. Sijui kwanini
Kumbe ndivyo mlivyokuwa brainwashed?Huyu baba akiondoka kua mwenyekiti au katibu Mkuu, siasa za upizani ndo basi.....wengi wana njaa na pia nimasikini, hawana background ya kumiliki pesa watauza Chama
Baba yake Mbowe ndiye mmoja wapo wafadhili wa Mwalimu kwenda kwa malkia kudai uhuru.Huyu baba akiondoka kua mwenyekiti au katibu Mkuu, siasa za upizani ndo basi.....wengi wana njaa na pia nimasikini, hawana background ya kumiliki pesa watauza Chama
Nipo hapa ufipa uani chini ya maturubai, au hujaniona kamanda?Sawa ila umewagusa wana ccm wenzako
CHADEMA ni chama kilichofanikiwa kujipambanua kama chama chenye dira mbadala inayoweza kuwapeleka watanzania kwenye hatua inayofuata ya maendeleo baada ya "hang over" ya uhuru. CHADEMA kwa maana ya sera, ilipaswa kamate nchi baada ya Benjamin Mkapa. CCM walifanya janja ya kijifanya wanabadilika kufuata upepo wa vyama vya upinzani badala ya kusimama kwenye mstari wao.
CCM na imeendelea kutumika kama kichaka cha kupora haki ya watanzania kujiamulia viongozi wanaowataka. Pamoja na mapambano yote hayo CCM imeendekea kumomonyoka na kupotea kutoka kwenye mioyo ya watanzania. Ukweli halisi wanaujua kuwa hata 2015 hawakushinda urais.
CCM kipo katika hatua za mwisho kabisa za kifo, ndio maana viongozi wake wame-panic. Wanatumia kila aina ya nguvu kuzuia kil njia za upinzani hasa CHADEMA kufanya siasa. Watazuia hata kutaja jina la CHADEMA, lakini kadri wanavyozuia ndivyo wanazidi kukataliwa. MAJI HAYAZUILIKI.
Hongera viongozi makini wa CHADEMA kuvuka vizingiti vyote vinavyowekwa na viongozi wa CCM wakiongozwa na rais Magufuli. Ni imani yangu kuwa hata wana CCM wanaojitambua hawakubaliani na ushamba na upuuzi wa viongozi wao waliojikweza na kujipa mamlaka ya kugandamiza haki zao za kuweka viongozi wanaowataka. Wanachamba wengi wa CCM wanapinga kuletewa viongozi MAKAHABA walionunuliwa kwa vipande vya fedha, badala ya kupitia njia zilizo za haki za kuupata uongozi kwa kufuata katiba na taratibu waizozizoea.
Mungu ailaze CCM mahai pema.
Nipo hapa ufipa uani chini ya maturubai, au hujaniona kamanda?
Baba yake Mbowe ndiye mmoja wapo wafadhili wa Mwalimu kwenda kwa malkia kudai uhuru.
Vibaraka hata bustani ya mboga mboga hawana yaani watauza chama kwa kupewa ulinzi tuu wa polisi kama bwana yule
Kwenda zako huko wewe kibwengo.Jaribu kuonesha umekua mwili na akili pia
Vingine ni aibu unajitia