Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
.....Hujielewi kweli kweli kama wenzako
😁
....nyanoko
.....Hujielewi kweli kweli kama wenzako
😁
Wewe nawe dada hivi huwa unajitambua? Nenda martenity basi upumzishe hilo tope lako kichwani
Hivi ni CCM wanaotaka mbowe aondoke au ni demokrasia ndo inataka hivyo? Siku jiwe nae atakaposema wananchi wanamuhitaji aendelee kutawala nchi povu lisiwatoke.Siku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556
Tumekulewa mkuu. Ni kweli watu walitumia hela zao nyingi tu kuwekeza kwenye chama, Sasa hivi wanajilipa. Wakishamaliza wakipata na faida watatuachia cjama chama chetu. Hakuna shida kabisa.unaona mbali sana kaka watu wandhani chadema imekuja kuja tu hawajui kuna watu walitumia fedha tena nyingi kufanikisha chama kina kua imara,hivi ndio tuseme unapata uenyekiti mtu anayefanana na lipumba si kila siku atakwenda kuchukua mlungula kutoka CCM.
ndio maana nchi kama USA hawampi uongozi mtu masikini madhara yake ndio hayo!.CCM pamoja na wananchi wengine wenye akili finyu wanadhani mbowe kajimilkisha chama wanasau Kwamba chama kikiwa kichanga ni rahisi kuhujujumiwa hasa kikikosa kiongpzi imara.nyerere mwenyewe kipindi chama kinaanza amekaa madarakani miaka na miaka akiwa mwenyekiti
Kandamiza hawa vibwengo.Ooh kumbe
Usijali kwa kuwa chini zaidi ya hapo.. ingawa naona umejilazimisha kuweka hiyo nusu ka vile unawania kombe huku ukijijua wewe ni 💀💀💀 empty head..🤣🤣🤣
Nyumbu ni CCM waliokariri zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM na zidumu fikra za Bashite hata kama hana vyeti pia zidumu fikra za polepole huku wakijua wamekula trilion 1.5 kimya kimya peke yaoNyie tulieni nyumbu nyie sumu nzuri ni ile inayoua taratibu
Mtukufu mwaka 2020 kamati kuu ya CCM imeshapanga kumuhujumu kama walivyomfanyia Lowasa, wazee wamekereka na utekaji kuwabambikia watu kesi na Uonevu wake mwingi na matumizi mabaya ya pesa za umma kwenye ununuzi wa mabunge madiwani na kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, wanataka mtukufu atawale miaka 5 tu wala sio zaidi ili awe kama yule Bush mkubwa Rais wa zamani wa USAHivi ni CCM wanaotaka mbowe aondoke au ni demokrasia ndo inataka hivyo? Siku jiwe nae atakaposema wananchi wanamuhitaji aendelee kutawala nchi povu lisiwatoke.
Kandamiza hawa vibwengo.
Ushujaa ni upi? Maana uenyekiti si unagombewa mtu halazimishwi, sasa utumwa gani maana kua mtumwa mtu analazimishwa. Ni bora aseme nimeamua kua mwenyekiti na siku nisipotakiwa na wanachama nitaondoka,ila kusema utumwa ni kuhadaa wananchi maana hizi nafasi tunazipigiakampeni na kuzigombea kwa nini baadae tunageuka kusema uongozi ni utumwa? Ingekua utumwa tungegombea? Hili silisemi kwa Mbowe nalisema kwa viongozi wote wanaodai uongozi ni utumwa au mzigo wakiona ni mzigo au utumwa waache wawaachie wale wanaoona uongozi ni wajibu na ni kazi kama kazi zingine na wanaoamini uongozi ni heshimaSiku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556
kwani ww kama mwana CCM mbowe anakuathiri nini kwa kuendelea kuwa mwenyekiti?
Ushujaa ni upi? Maana uenyekiti si unagombewa mtu halazimishwi, sasa utumwa gani maana kua mtumwa mtu analazimishwa. Ni bora aseme nimeamua kua mwenyekiti na siku nisipotakiwa na wanachama nitaondoka,ila kusema utumwa ni kuhadaa wananchi maana hizi nafasi tunazipigiakampeni na kuzigombea kwa nini baadae tunageuka kusema uongozi ni utumwa? Ingekua utumwa tungegombea? Hili silisemi kwa Mbowe nalisema kwa viongozi wote wanaodai uongozi ni utumwa au mzigo wakiona ni mzigo au utumwa waache wawaachie wale wanaoona uongozi ni wajibu na ni kazi kama kazi zingine na wanaoamini uongozi ni heshima
Mtukufu mwaka 2020 kamati kuu ya CCM imeshapanga kumuhujumu kama walivyomfanyia Lowasa, wazee wamekereka na utekaji kuwabambikia watu kesi na Uonevu wake mwingi na matumizi mabaya ya pesa za umma kwenye ununuzi wa mabunge madiwani na kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, wanataka mtukufu atawale miaka 5 tu wala sio zaidi ili awe kama yule Bush mkubwa Rais wa zamani wa USA
Kuongoza Chadema ni rahisi sana........kwahiyo Mbowe ni mtume?!!!!!....na yule Lema ni nabii!!Siku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556