Siku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556
Mvuta bangi yupi maarufu mwenye akili kama hizo?Bob Marley? Peter Tosh? Saa nyingine msifananishe bangi na watu wajinga na vitu vya kijinga mkuu. Ni angalizo tu.Wewe mwenyewe ni mvuta bhangi
hawa uliowataja muamala wao toka CCM utakamilika pale tu watakapofanikiwa hujuma zao za kumng'oa Mbowe.Komu na kubenea ni Ccm banghi bwana!
unaona mbali sana kaka watu wandhani chadema imekuja kuja tu hawajui kuna watu walitumia fedha tena nyingi kufanikisha chama kina kua imara,hivi ndio tuseme unapata uenyekiti mtu anayefanana na lipumba si kila siku atakwenda kuchukua mlungula kutoka CCM.Huyu baba akiondoka kua mwenyekiti au katibu Mkuu, siasa za upizani ndo basi.....wengi wana njaa na pia nimasikini, hawana background ya kumiliki pesa watauza Chama
wanatumiwa na CCM sasa wewe unadhani ni akili zao zile?Komu na kubenea ni Ccm banghi bwana!
Sasa ngapi hawa unafunga mwanao pampasi kila ukisikia Mbowe choo kinagongaKomu na kubenea ni Ccm banghi bwana!
utabadilika tu lazima safari hii kipara kipoteeKomu na kubenea ni Ccm banghi bwana!
SISITV[emoji102] [emoji12]Hivi sasa CCM wanamwogopa Mbowe kuliko wanavyoiogopa CDM. Sijui kwanini