Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Mwaka 2014 nilikutana na konda stand anapiga debe,Mwanza

akaniambia kwao ni Rwanda ila Tz anaijua vizuri kazunguka sehemu nyingi na anapiga kiswahili vizuri tu,huezi fikiri kua ni mnyarwanda

Nikashangaa,kumbe Kuingia Tz ni rahisi hivi
Nchi ambayo ni rahisi kuingia ni tanzania yaan nimekaa ngara warundi wanaingia kama wanaenda chooni na Kuna wengine wanawapiga makofi watanzania na matus juu na hakuna nayejar.
Yaan nilipata hasira kuona warundi wanamiliki NIDA Tena wanatamba kabisa kua sisi watanzania tunapenda pesa so NIDA wananunua Kwa 50k tu hapo Ngara mjini ofisi za NIDA.
 
Hii nchi viongoz wanajar Siasa tu Ili wabakie madarakan ila kuhusu usalama WA nchi ni sifuri kabisa.
Mfano mdogo nimekaa Sana hapo Ngara - Kagera ,yaan hiyo wilaya wamejaa warundi na wanyarwanda mbaya Zaid wengi wanamiliki Hadi NIDA wanazipata Kwa shilingi elfu hamsini tu.

Ingia bar yoyote ya Ngara wahudumu ni warundi.
Ukienda saloon za kiume na kike ni warundi.
Mapori ya ng'ombe wamejaa wanyarwanda na viongoz wanaujua ukweli wote na wapo kimya.

Wafanyakaz WA ndani WA hiyo wilaya wote ni warundi na wengine wanaishi kwenye nyumba za viongoz WA ngazi kubwa za wilaya.

Kila kukichwa warundi na wanyarwanda wanapenya tu ndani ya tanzania ,kahama ni kama nyumbani kwao, Dodoma washafika.Ukienda kariakoo chinga wadogo wadogo ni warundi Sasa kwanini wasipenye kwenye vyombo vya usalama?

Kizaz kijacho kina Kaz kubwa juu ya Hawa mbwana maana tayar washajipenyeza Kwa wingi sana
Kuna mmoja nilimkuta NGAO LOUNGE pale Goba ni mfanyakazi pale hata Kiswahili ni cha kuunga unga.

Nilitumia utaalam wangu wa lunga na upelelezi akakiri kwamba yeye ni Mtusi, na alinionyesha wenzake.

JK alivyowafukuza chini wa Waziri Nchimbi hakukosea.

Ni watu wema usoni ila moyoni wana kisasi haswa.

Embu fikiri Wahutu na Watusi wanaongea lugha moja ila wanabaguana kwa kuangalia pua na urefu.

Hivi ni ubaguzi gani duniani unique kushinda huu wa hawa jamaa?
 
Watanzania sio smart? If anything naona inferiority complex inawasumbua wabongo hamna kingine chochote.
Na ndiyo ninyi mnaisumbua East Africa.

Tatizo hampendi kuishi kwa amani na jamii nyingine. Hopeless race!
 
Na ndiyo ninyi mnaisumbua East Africa.

Tatizo hampendi kuishi kwa amani na jamii nyingine. Hopeless race!

Wabongo mna ujinga sana vichwani. Mnaogopa wageni, mnaogopa uraia pacha, mnaogopa majirani, mnaogopa kwenda nje, watu wamekua naturalized bado mnawaita wakimbizi, wabongo bado wajinga sana. Aliyewajaza ujinga kafanikiwa 1000% mmekua inferior kupita maelezo. Kila kitu mnaona mnaonewa au kuibiwa as though nyie hamna akili za kuibia wengine. Inferiority complex of the highest order.
 
Kuna mmoja nilimkuta NGAO LOUNGE pale Goba ni mfanyakazi pale hata Kiswahili ni cha kuunga unga.

Nilitumia utaalam wangu wa lunga na upelelezi akakiri kwamba yeye ni Mtusi, na alinionyesha wenzake.

JK alivyowafukuza chini wa Waziri Nchimbi hakukosea.

Ni watu wema usoni ila moyoni wana kisasi haswa.

Embu fikiri Wahutu na Watusi wanaongea lugha moja ila wanabaguana kwa kuangalia pua na urefu.

Hivi ni ubaguzi gani duniani unique kushinda huu wa hawa jamaa?
Yaan ni shida hii jamii ni wakuogopwa Sana ila bahat mbaya tushachelewa maana wamepenya tayar Tena Kwa idadi kubwa Sana.
Ajabu Sasa ukikutana na mrundi au mnyarwanda kwenye wallet yake hakosi KADI ya ccm so washaujua udhaifu WA hii nchi .
Mrundi hakosi KADI ya ccm na tishet hata Moja ya ccm ya kuzugia .
Mtu WA namna hiyo ataguswa na kiongoz yup?
 
Wabongo mna ujinga sana vichwani. Mnaogopa wageni, mnaogopa uraia pacha, mnaogopa majirani, mnaogopa kwenda nje, watu wamekua naturalized bado mnawaita wakimbizi, wabongo bado wajinga sana. Aliyewajaza ujinga kafanikiwa 1000% mmekua inferior kupita maelezo. Kila kitu mnaona mnaonewa au kuibiwa as though nyie hamna akili za kuibia wengine. Inferiority complex of the highest order.
Hapana haloo.

Watu wenye uchu wa kula nyama za watu na kumwaga damu bila uwoga siyo wa kuchekea.

Never!
 
Kama washakua raia ukimbizi wao hauna tija unless kama hawakuwahi kuwa naturalized.

From my understanding, ni Rais na VP tu ndo lazima wawe watanzania kwa kuzaliwa ila nafasi zingine zote so long as ni mtanzania hata by naturalization inakubalika.

Kinachowasumbua wabongo ni inferiority complex. Wabongo wamejazwa uoga wanajina inferior mbele ya watu wote. Wanaogopa wageni, wanaogopa kwenda nje, wanaogopa majirani, wanaogopa kila kitu.
 
Yaan ni shida hii jamii ni wakuogopwa Sana ila bahat mbaya tushachelewa maana wamepenya tayar Tena Kwa idadi kubwa Sana.
Ajabu Sasa ukikutana na mrundi au mnyarwanda kwenye wallet yake hakosi KADI ya ccm so washaujua udhaifu WA hii nchi .
Mrundi hakosi KADI ya ccm na tishet hata Moja ya ccm ya kuzugia .
Mtu WA namna hiyo ataguswa na kiongoz yup?
Yaan ni shida hii jamii ni wakuogopwa Sana ila bahat mbaya tushachelewa maana wamepenya tayar Tena Kwa idadi kubwa Sana.
Ajabu Sasa ukikutana na mrundi au mnyarwanda kwenye wallet yake hakosi KADI ya ccm so washaujua udhaifu WA hii nchi .
Mrundi hakosi KADI ya ccm na tishet hata Moja ya ccm ya kuzugia .
Mtu WA namna hiyo ataguswa na kiongoz yup?
Hatujachelewa. Mbona JK alifanya?
 
Ndio hivi hivi Watanganyika wanavyojipenyeza Kwa Kasi ZANZIBAR na hivi Sasa nafasi nyingi nyeti wanazikamata wao hivyo wazanzibar INAANZA kuwa ngumu kuajiriwa ZANZIBAR WATU kutoka Tanganyika wanapewa kipa umbele na ndugu zao ambao tayari wameshika hatamu ZANZIBAR
Kwani Zanzibar ni nchi gani.
Mimi anavyojua Zanzibar ni mkoa kama mikoa mingine.
 
Upuuzi mtupu, alifikaje hapo huyo mkubwa?
Acheni tuhuma za, kijinga jinga,kama mtu mkubwa kama CDF, anakili kqbisa kuwa kuwa, watu wapo kwenye njazifa nyeti, na sio raia, huo ni uzembe kazini, ilibidi ajiuzuru kabisa,yaani unakili hadharani kwamba Raisi hufanya makosa, katika kuteua na anateua watu wa sio raia! Sasa wasaidizi wake, na mamlaka za usalama zinafanya ni ni? Yaani maccm yameshindwa kazi, yamebski kuiba tu.
Jw haihusiki na ajira,acha ujinga, JW kazi yake kulinda mipaka ya nchi isivamiwe
 
Upuuzi, mtupu, jwtz ile ya, zamani sawa, wakati wa brigadier Hashim Mbita, hii ya sasa hv, imejaa vilaza watupu na makada wa CCM,
Inawezekana vipi mkuu wa majeshi,aliyebobea, akasimama hadharani na kukili kuwa "kuna watu wameajiliwa na kuteuliwa serikalini ambao sio raia,"ni kuivua nchi nguo, hii, kitu sio ya kusema hadharani, yeye kama mkuu wa, jeshi, ilibidi azuie hii kitu, sasa
Ni kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom