Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 9,071
- 15,825
Mbona unatoka nje ya mada?Wamakonde ni raia wa wapi?
Hivi unawajua hawa jamaa au wewe ni mmoja wao?
Mbona unatoka nje ya mada?Wamakonde ni raia wa wapi?
And they’re very smart people !
Don’t forget that !
Nchi ambayo ni rahisi kuingia ni tanzania yaan nimekaa ngara warundi wanaingia kama wanaenda chooni na Kuna wengine wanawapiga makofi watanzania na matus juu na hakuna nayejar.Mwaka 2014 nilikutana na konda stand anapiga debe,Mwanza
akaniambia kwao ni Rwanda ila Tz anaijua vizuri kazunguka sehemu nyingi na anapiga kiswahili vizuri tu,huezi fikiri kua ni mnyarwanda
Nikashangaa,kumbe Kuingia Tz ni rahisi hivi
Kuna mmoja nilimkuta NGAO LOUNGE pale Goba ni mfanyakazi pale hata Kiswahili ni cha kuunga unga.Hii nchi viongoz wanajar Siasa tu Ili wabakie madarakan ila kuhusu usalama WA nchi ni sifuri kabisa.
Mfano mdogo nimekaa Sana hapo Ngara - Kagera ,yaan hiyo wilaya wamejaa warundi na wanyarwanda mbaya Zaid wengi wanamiliki Hadi NIDA wanazipata Kwa shilingi elfu hamsini tu.
Ingia bar yoyote ya Ngara wahudumu ni warundi.
Ukienda saloon za kiume na kike ni warundi.
Mapori ya ng'ombe wamejaa wanyarwanda na viongoz wanaujua ukweli wote na wapo kimya.
Wafanyakaz WA ndani WA hiyo wilaya wote ni warundi na wengine wanaishi kwenye nyumba za viongoz WA ngazi kubwa za wilaya.
Kila kukichwa warundi na wanyarwanda wanapenya tu ndani ya tanzania ,kahama ni kama nyumbani kwao, Dodoma washafika.Ukienda kariakoo chinga wadogo wadogo ni warundi Sasa kwanini wasipenye kwenye vyombo vya usalama?
Kizaz kijacho kina Kaz kubwa juu ya Hawa mbwana maana tayar washajipenyeza Kwa wingi sana
Wao wanaangalia mtu anayeisifu CCM na viongozi wake tu basi! Vetting imeisha.Huwezi amini wanashika hadi nafasi za juu kabisa za maamuzi. Nchi yetu sijui ina nini hii?
Na ndiyo ninyi mnaisumbua East Africa.Watanzania sio smart? If anything naona inferiority complex inawasumbua wabongo hamna kingine chochote.
Na ndiyo ninyi mnaisumbua East Africa.
Tatizo hampendi kuishi kwa amani na jamii nyingine. Hopeless race!
Yaan ni shida hii jamii ni wakuogopwa Sana ila bahat mbaya tushachelewa maana wamepenya tayar Tena Kwa idadi kubwa Sana.Kuna mmoja nilimkuta NGAO LOUNGE pale Goba ni mfanyakazi pale hata Kiswahili ni cha kuunga unga.
Nilitumia utaalam wangu wa lunga na upelelezi akakiri kwamba yeye ni Mtusi, na alinionyesha wenzake.
JK alivyowafukuza chini wa Waziri Nchimbi hakukosea.
Ni watu wema usoni ila moyoni wana kisasi haswa.
Embu fikiri Wahutu na Watusi wanaongea lugha moja ila wanabaguana kwa kuangalia pua na urefu.
Hivi ni ubaguzi gani duniani unique kushinda huu wa hawa jamaa?
Hapana haloo.Wabongo mna ujinga sana vichwani. Mnaogopa wageni, mnaogopa uraia pacha, mnaogopa majirani, mnaogopa kwenda nje, watu wamekua naturalized bado mnawaita wakimbizi, wabongo bado wajinga sana. Aliyewajaza ujinga kafanikiwa 1000% mmekua inferior kupita maelezo. Kila kitu mnaona mnaonewa au kuibiwa as though nyie hamna akili za kuibia wengine. Inferiority complex of the highest order.
Yaan ni shida hii jamii ni wakuogopwa Sana ila bahat mbaya tushachelewa maana wamepenya tayar Tena Kwa idadi kubwa Sana.
Ajabu Sasa ukikutana na mrundi au mnyarwanda kwenye wallet yake hakosi KADI ya ccm so washaujua udhaifu WA hii nchi .
Mrundi hakosi KADI ya ccm na tishet hata Moja ya ccm ya kuzugia .
Mtu WA namna hiyo ataguswa na kiongoz yup?
Hatujachelewa. Mbona JK alifanya?Yaan ni shida hii jamii ni wakuogopwa Sana ila bahat mbaya tushachelewa maana wamepenya tayar Tena Kwa idadi kubwa Sana.
Ajabu Sasa ukikutana na mrundi au mnyarwanda kwenye wallet yake hakosi KADI ya ccm so washaujua udhaifu WA hii nchi .
Mrundi hakosi KADI ya ccm na tishet hata Moja ya ccm ya kuzugia .
Mtu WA namna hiyo ataguswa na kiongoz yup?
Kwani Waarabu ni Wasomali?Kwao somaliland na kwingineko
Waarabu wapo tz kabla hata babu zake Nyerere hawajatoka utusini kuja TanganyikaJe waarabu wa hapa Tinde waelekee wapi?
Majaliwa na mpangoSikuelewi.
Kaongee na mnaofahamiana lugha.
Ni raia wa Uingereza ila ana asili ya IndiaWaziri mkuu UK raia wa wapi?
Kwani Zanzibar ni nchi gani.Ndio hivi hivi Watanganyika wanavyojipenyeza Kwa Kasi ZANZIBAR na hivi Sasa nafasi nyingi nyeti wanazikamata wao hivyo wazanzibar INAANZA kuwa ngumu kuajiriwa ZANZIBAR WATU kutoka Tanganyika wanapewa kipa umbele na ndugu zao ambao tayari wameshika hatamu ZANZIBAR
Jw haihusiki na ajira,acha ujinga, JW kazi yake kulinda mipaka ya nchi isivamiweUpuuzi mtupu, alifikaje hapo huyo mkubwa?
Acheni tuhuma za, kijinga jinga,kama mtu mkubwa kama CDF, anakili kqbisa kuwa kuwa, watu wapo kwenye njazifa nyeti, na sio raia, huo ni uzembe kazini, ilibidi ajiuzuru kabisa,yaani unakili hadharani kwamba Raisi hufanya makosa, katika kuteua na anateua watu wa sio raia! Sasa wasaidizi wake, na mamlaka za usalama zinafanya ni ni? Yaani maccm yameshindwa kazi, yamebski kuiba tu.
Ni kweli kabisa.Upuuzi, mtupu, jwtz ile ya, zamani sawa, wakati wa brigadier Hashim Mbita, hii ya sasa hv, imejaa vilaza watupu na makada wa CCM,
Inawezekana vipi mkuu wa majeshi,aliyebobea, akasimama hadharani na kukili kuwa "kuna watu wameajiliwa na kuteuliwa serikalini ambao sio raia,"ni kuivua nchi nguo, hii, kitu sio ya kusema hadharani, yeye kama mkuu wa, jeshi, ilibidi azuie hii kitu, sasa
Mkunda jina la kinyamweziUsikute nae anajihami Tanzania hatuna majina ya mkunda hapa upatikana Congo na Burundi atuambie asili yake wapi.
Baba mwenyewe alikuwa ndiyo walewale.Na POPOMA wa JF arudi kwao rwanda, baba wa taifa angekuwa hai nae angerudishwa kwao