Hongera CCM kwa kutekeleza ahadi

ndomana sijutii kuhama chadema na kuja ccm.cdm wahuni wengi na siwavumiliv katika siasa za ushindani si wastaarabu. lazima tuseme kweli kama zito kabwe kuwa " ccm inamazuri na si kila kitu kibaya tu,ccm imejenga barabara ya lami kigoma,ccm inajenga barabara ya lami dar to mbeya".

na leo serikali ya ccm imekamilisha mradi mkubwa wa maji wa bwawa la machiria mkoani mara ktk wilaya ya serangeti utakao hudumia maeneo ya singida kwa lisu,bariadi,maswa na tabora.

hongereni ccm rekebishen kasoro chache zilizopo wapinzan wakose chakusema muongoze nchi tena 2015 ,2025nakuendelea, sasa cdm inaemea masikio, wote wapo arusha cc tupo nchi nzima,mkiwakamata kesho kigoma hawawezikuja kuacha ya arusha,wamechoka, mchakamchaka kesi yakuiba mke ya dk vp? zen lile deni la mbowe nbc vipi?

Imagine eti barabara, bwawa, endelea soko kubwa kariakoo etc. Believe you me pamoja na kujifanya ni shabiki wa kutupwa wa magamba inawezekana tu kwa kuweka thread kama hii iwapo una matatizo ya akili kwani ndiyo pekee yanayoweza mfanya mtu asijue majukumu ya serikali! SHAME
 
ndomana sijutii kuhama chadema na kuja ccm.cdm wahuni wengi na siwavumiliv katika siasa za ushindani si wastaarabu. lazima tuseme kweli kama zito kabwe kuwa " ccm inamazuri na si kila kitu kibaya tu,ccm imejenga barabara ya lami kigoma,ccm inajenga barabara ya lami dar to mbeya".

na leo serikali ya ccm imekamilisha mradi mkubwa wa maji wa bwawa la machiria mkoani mara ktk wilaya ya serangeti utakao hudumia maeneo ya singida kwa lisu,bariadi,maswa na tabora.

hongereni ccm rekebishen kasoro chache zilizopo wapinzan wakose chakusema muongoze nchi tena 2015 ,2025nakuendelea, sasa cdm inaemea masikio, wote wapo arusha cc tupo nchi nzima,mkiwakamata kesho kigoma hawawezikuja kuacha ya arusha,wamechoka, mchakamchaka kesi yakuiba mke ya dk vp? zen lile deni la mbowe nbc vipi?[/
QUOTE]

Tumaini letu,
Upo Bar gani ndugu yetu? Nenda kalale usiku umeingia.
 
Back
Top Bottom