Hongera Ben...

Hongera Ben...

Na ushororo wote huo hapo ndo alipoangukia ................!!!!!!!!???? Lara1 leo nimethibitisha Kweli kabla ya ndoa watu wengi wanakulaga ndizi ndizi Weeeeeeee at the end anatafuta biringanya lake anatulia nalo..




Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Movie ya zaman.
Source ; marafik wa karibu na Ben
Ushahid ; picha Na video. Zinaonyesha mazingira ya zamam m
Mfano Ben Nguo alizovaa na kwa jinsi tunavyomjua ni kwamba aliwah vaa miaka 6 nyuma.
Sample, suti ya marang rangi, tai za upana , dzain ya kucheza.

Ila Ben hapokei simu za marafik, inaelekea pia ni KIKI ya kitu fulan.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom