Hongera Ben...

Hongera Ben...

Sijapata nguvu ya kusema chochote bado....em tuendelee subiri.
 
Si ndio hapo sasa! Uzi ameuweka kikejeli na viemoj vya kujichekesha alafu eti anajifanya kutoa ushauri
Huyo mleta mada ana akili za kitoto sana japo umri umeshamtupa mkono,mada zake za kishirikina watu walishamshtukia ndio maana sasa hivi hajui hata aanzishe mada gani,hizi mada anazo anzisha sasa ni sawa na the last kicks of a dying horse.
 
wanawake wengi wenye uzuri wa sura mala nyingi hua na akili kisoda,

na wote tunajua mwanamke akiwa akili kisoda ni lazima awe msumbufu,

na wote tunajua mwanamke akiwa msumbufu ni hatari kwa mwanamume,


na wote tunajua mwanamke hatari kwa mwanamume anavyokondesha,

na wote tunajua mwanaume akikonda anavyopata taabu,

kwahiyo huyu jamaa amekwepa kupata tabu,

hongera zake nyingi sana huyu jamaa
 
Back
Top Bottom