Hongera Ben...

Hongera Ben...

Ungem text tu kwa hili. Kuanzisha topic mpya na kumwambia asiwasikilize hao ni sawa na kuwaita hao waje kuchangia yao.

Single motherz oyee, mwenzetu kaweza ana nini na sisi tushindwe tuna nini.
Nawatakia wanandoa hawa maisha ya furaha na upendo, ndoa yao idumu wazeeke pamoja kifo tu ndio kiwatenganishe. Amen.
Si ndio hapo sasa! Uzi ameuweka kikejeli na viemoj vya kujichekesha alafu eti anajifanya kutoa ushauri
 
Wanaume wengi hawaijui hii fact(picture below)..Ila mkuu Ben ameiona na kutambuaa hili.Huyu Jamaa ni Genius..Hongera sana Kinyaiya..
tapatalk_1546962250025.jpeg


#Muungwana_John
 
Back
Top Bottom