Ungem text tu kwa hili. Kuanzisha topic mpya na kumwambia asiwasikilize hao ni sawa na kuwaita hao waje kuchangia yao.
Single motherz oyee, mwenzetu kaweza ana nini na sisi tushindwe tuna nini.
Nawatakia wanandoa hawa maisha ya furaha na upendo, ndoa yao idumu wazeeke pamoja kifo tu ndio kiwatenganishe. Amen.

















kwa hiyo unawasimanga eeh
Hapo kwenye kuzeeka pamoja pana utata mana kimuonekano bibi harusi ni jioni tayari wakati bwana harusi bado kijana mdogo so obviously mwanamke atazeeka kabla ya mwanaume.Ungem text tu kwa hili. Kuanzisha topic mpya na kumwambia asiwasikilize hao ni sawa na kuwaita hao waje kuchangia yao.
Single motherz oyee, mwenzetu kaweza ana nini na sisi tushindwe tuna nini.
Nawatakia wanandoa hawa maisha ya furaha na upendo, ndoa yao idumu wazeeke pamoja kifo tu ndio kiwatenganishe. Amen.
Beauty is in the eyes of the beholder
sio kwa kono hilo! Na kifua namna hiyo
Huyo Mwanamke anaonekana ana akili nyingi, ona alivyo Simple kabisa, hana makuu.
Kama umri mbona Profesa kaoa kabinti wanapishana miaka 55 kama kajukuu kake tu kama sio ka kilembwe.
Hivyo umri sio kitu muhimu kwenye mahusiano ya ki ndoa, cha msingi ni kama mnapendana na kuridhishana na kuleta furaha kati yenu na uhakika wa maisha yenu.
Hongera Ben.
Hongera Profesa.
Sent using Jamii Forums mobile app



hongera wote walioolewa



da kwaunyonge hivyyo maana yake hawajamfurahia bibi harusi au vipi mkuuu?Hapo ndo unampeleka mke mtarajiwa kumtambulisha kwa wazazi unakuta wanakwambia "anhaaa sawa baba, muhimu upendo tu"
Nimejikuta nacheka kwa sauti...Hapo ndo unampeleka mke mtarajiwa kumtambulisha kwa wazazi unakuta wanakwambia "anhaaa sawa baba, muhimu upendo tu"