Utawaweza watu wa mitandaoni?Nawashangaa sana wanaomponda huyu mama.mbona mzuri sana.halafu huyo Ben mbona huyo mama amemsaidia sana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzenu kaweza anapesaUngem text tu kwa hili. Kuanzisha topic mpya na kumwambia asiwasikilize hao ni sawa na kuwaita hao waje kuchangia yao.
Single motherz oyee, mwenzetu kaweza ana nini na sisi tushindwe tuna nini.
Nawatakia wanandoa hawa maisha ya furaha na upendo, ndoa yao idumu wazeeke pamoja kifo tu ndio kiwatenganishe. Amen.
kuna nini duara la chini hapo tena?
Hili ndio nilikuw nalisubiri.
Figure za mbeya hizi!
Hapo kwenye kuzeeka pamoja pana utata mana kimuonekano bibi harusi ni jioni tayari wakati bwana harusi bado kijana mdogo so obviously mwanamke atazeeka kabla ya mwanaume.
Nina uhakika hili ndio chaguo sahihi kwa bwana Ben,katika ndoa hakuna kitu kizuri kama kuwa na amani,ni afadhali kuwa na mwanamke mbaya ukawa na amani kuliko kuoa mwanamke mzuri halafu ndoa ikakosa amani.Songa mbele Ben, hilo ndio chaguo lako usisikilize miluzi...
Business is not only the art of selling and/or buying tangible and ideas also the science of keeping the brain thinking.Utakuta muanzisha mada ni mtu na ndevu zake na pengine ni baba wa watoto halafu anaanzisha thd ili kudhihaki ndoa ya wenzake! huyo ndio chaguo la Ben na ameoa akipendacho,au ulitaka wewe ndio umchagulie mke? maisha ya watu hayakuhusu chochote wewe,if u mind your own business you'll stay busy all the time,just mind ur own business.
Sure, beauty is always subjective, it isn't and never will be objective.Beauty is in the eyes of the beholder
Brain thinking kwa kudhihaki mke wa mtu? hivi uliielewa post yangu au umeamua tu kuchangia ili na wewe usisahaulike kua upo humu JF?Business is not only the art of selling and/or buying tangible and ideas also the science of keeping the brain thinking.
Bro mshana umwkuwa msengenyaji, maneno haya ni yako hao unaowasema unawasingizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Science is not an art.Brain thinking kwa kudhihaki mke wa mtu? hivi uliielewa post yangu au umeamua tu kuchangia ili na wewe usisahaulike kua upo humu JF?
najisikia vibaya sana watu wanavyomwandama huyu mwanadada.
Nilidhani najadili na mtu anayejielewa kumbe napoteza muda na mtu ambaye anakomaza ubongo kwa kuleta vikejeli vya kitoto!Science is not an art.
Hiyo siyo dhihaka.
Huo ni mtizamo (perspectives) na of cause wao ndio wame trigger brain business ya society.
Kama hujui kuifikirisha akili basi anzia kwenye mashindano ya urembo! One beautiful against the rest ugly.
Sasa huyu wa Ben ameingia kwenye beauty contest, majaji ndio hao wewe unawashutumu kuwa waadhihaki.
Ni heri umegundua kuwa bila kujibaraguza huna pa kutokea.Nilidhani najadili na mtu anayejielewa kumbe napoteza muda na mtu ambaye anakomaza ubongo kwa kuleta vikejeli vya kitoto!