Honeymooon iliyoishia kwenye msiba

Honeymooon iliyoishia kwenye msiba

Hata wewe ukileta habari za kuokoteza bila kuleta chanzo nakuzingua tu. Mimi siko interested na kusambaza chuki za kidini. Au kushabikia vitu vinavyofanya dini moja sio sahihi. Dhumu la kusambaza hii taarifa ninkiwaattack Waislam na kueneza Chuki.

Nimesema CHADEMA sababu nimeona watu wengi Content Creator na Wanaharakati wa Chadema wanajazana kukosea ha kulaani hiintaarifa wakaacha kupost ziara ya heche, Katiba mpya na maendeleo ya kesii za chama zinazoendelea.

Hii taarifa inaacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa ufupi haijakamilika.. Siiungi mkono. Na haina faida kwa chadema ndo maana nimewazingua. Mnashindwa kuforcus na mambo ya msingi wakati mnajua taifa linawategemea nyie mnashadadia udaku. Matako yenu.

IMG-20261019-WA0031.jpg
IMG-20261019-WA0032.jpg

HII ni taarifa ya ukweriiii na ukibisha. Tukuchangie nauli then uende SAUDIA UKA PIGE NYETO MSIKITINI HADHARANI UONE UTA UKUMIWA ADHABU GANI
 
Si kila safari ya maisha huanza kwa furaha na kumalizika kwa furaha.

Kwa wanandoa wawili kutoka Bangladesh, safari yao kuelekea Makka ilipaswa kuwa mwanzo wa kumbukumbu nzuri ya maisha yao ya ndoa.

Walikuwa wameanza ukurasa mpya wa maisha, wakielekea katika mji mtakatifu wa Makka kwa matumaini na furaha lakini mambo yalibadilika ghafla.

Wakiwa huko, Nazrul Islam Abdul Basir na Siti Akhtar walikumbwa na tukio lililobadilisha kabisa hatima yao.

Ndani ya msikiti huko Makka, Nazrul alimbusu mkewe Siti kwenye paji la uso, busu hilo lilikuwa ishara ya upendo na shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya mwanamke aliyekuwa amekuwa sehemu ya maisha yake.

Badala ya wakati huo kuwa kumbukumbu ya upendo, uliishia kuwa mwanzo wa matatizo makubwa, wawili hao walikamatwa, wakafikishwa mbele ya vyombo vya sheria na baadaye kuhukumiwa kifo kwa kosa lililohusishwa na kitendo cha maadili yasiyofaa ndani ya msikiti.

Hatimaye, hukumu hiyo ilitekelezwa safari iliyokuwa imeanza kwa matumaini ya wanandoa wapya ikageuka kuwa safari ya mwisho ya maisha yao.

Miili yao ilirejeshwa Bangladesh ikiwa katika majeneza mawili tofauti, huku familia zao zikikabiliwa na maumivu makubwa ya kumpoteza watu wao wa karibu katika mazingira ambayo ni vigumu kuyasahau.

Wakati mwingine maisha yanaweza kubadilika ndani ya muda mfupi sana, safari iliyokuwa ya fungate, ikaishia kuwa safari ya mwisho.

Somo ambalo nimejifunza kwenye hili jambo ni kwamba usiende kwenye nchi ambayo haujui mila, desturi na Utamaduni wake.View attachment 3694831
Dini ndio Inakuwa katili kiasi hiki?
Duh!!
Halafu wanasema ya haki!
 
Wale hawakuwa wanandoa. Wala hawakuwa katika fungate. Hawakuwa katika Umrah. Na Saudi Arabia imetoa tamko rasmi kuwa wale watu wawili wametekelezewa Adhabu ya kifo kwa sababu ya kufanya vitendo vichafu katika Msikiti Mtukufu wa Makkah sio kwa sababu ya kubusiana tu.

Kuna uvumi mwingi sana unasambazwa kuhusiana na watu hao.

Na wala Uislam haujakiukwa kwa Saudi Arabia kuwahukumu hivyo. Wamehukumiwa chini ya Ta'azir, ukizingatia Ukubwa wa Utukufu wa Msikiti Wa Makkah na Maeneo Matukufu ya Makkah na uzito wa kosa lao hilo kufanyika Ndani ya Eneo lile Tukufu.

Kusambaza uvumi sio jambo zuri Mshana Jr
 
Dumbya leo kapiga 2 kwenye ushindi mnono wa bao 6
17925912349603787396956003037824.jpg
7f53be7b-e79a-4605-856c-d8e15aaf3a67.jpeg
 
Sharia Law!!! Sharia law. Hakuna Upendo wala Ishara ya Upendo. Dah!
Inasikitisha mno. RIP wanandoa wapya- ndo ivo tena imeshakuwa.

Hawakuwa wanandoa wapya wala wanandoa wowote wale.

And we are proud of Shari'ah, Alhamdulillah.
 
Watawalipa tu maana hilo ni bifu la Nchi na Nchi huwezi ukaua raia wa Nchi nyingine ukachekewa wataenda Wasaudia huko Bangladesh watasakiziwa mbwa wakikimbia tu imeisha hio za kichwa

Saudi Arabia ishamtekelezea Adhabu ya kifo mpaka raia wa Marekani mwaka 2023, ambaye alimuua Baba yake mzazi.

Sijasema hivi kuitweza Bangladesh wala kuidunisha, Bangladesh ni Nchi ya Kiislam na ninamuomba Allah Aibariki na Awaongoze na kuwahifadhi watawala wake na watu wake, Aamiin.

Nimetoa mfano wa Marekani kujibu hoja yako ya Bifu, kwa sababu Marekani kwa baadhi yenu mnaiogopa mno.

Saudi Arabia mpaka watu kutoka Familia ya Kifalme washawahi kutekelezewa Adhabu ya Kifo. Mwaka 2016 kuna mwanamfalme alitekelezewa adhabu ya kifo kwa sababu ya kumuua raia mwengine wa Saudi Arabia.

So sio kwa sababu labda walikuwa ni Wabangladesh. Kuna Msaudia alihukumiwa kifo kwa kumuua mfanyakazi wake wa ndani kutoka Bangladesh.

Hiyo ndio Shari'ah.

Ninamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.

Allah Aibariki Saudi Arabia na kuiongezea Neema, Aamiin.
 
Ninaipenda Saudi Arabia kwa ajili ya Allah.
 
Hii habari nimeiona inasambazwa na watu wa CHADEMA. Bado sijajua hii kampeni inalenga nini. Sababu nimefuatilia sipati chanzo sahihi.

Mtu inifafanulie. Je, nii propaganda za kisiasa au taarifa za kidini?

Sababu taarifa haijakamilika. Haijataja tukio limetokea lini na mahakama gani wala kosa walofanya la kubusu sijapata walihukumiwa kwa sheria gani. Bado nafuatilia hiki kisa.. Anayejua vizuri anielezee
Chadema imeingiaje ingia hata BBC utaikuta
 
Wale hawakuwa wanandoa. Wala hawakuwa katika fungate. Hawakuwa katika Umrah. Na Saudi Arabia imetoa tamko rasmi kuwa wale watu wawili wametekelezewa Adhabu ya kifo kwa sababu ya kufanya vitendo vichafu katika Msikiti Mtukufu wa Makkah sio kwa sababu ya kubusiana tu.

Kuna uvumi mwingi sana unasambazwa kuhusiana na watu hao.

Na wala Uislam haujakiukwa kwa Saudi Arabia kuwahukumu hivyo. Wamehukumiwa chini ya Ta'azir, ukizingatia Ukubwa wa Utukufu wa Msikiti Wa Makkah na Maeneo Matukufu ya Makkah na uzito wa kosa lao hilo kufanyika Ndani ya Eneo lile Tukufu.

Kusambaza uvumi sio jambo zuri Mshana Jr

View: https://vm.tiktok.com/ZSgfEpsTB/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Back
Top Bottom