Honey moon ndani ya Mogadisho

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Waungwan mwenzenu hivi karibuni navuta jiko' jiko la gas ya oryx sio jiko la mchina'ila honey moon nimepanga kwenda Mogadisho Somalia'nina ofa ya tiketi ya 2 za kunisindikiza kwa JF alietayari ani Pm tu'
 
Ukitayarisha pesa ya kutukomboa mimi na mpenzi wangu toka mikononi mwa al shabab tutakusindikiza.....
 
Au ndiyo mbinu mpya ya Alshabab kuongeza wapiganaji wapya? Lol!
 
kuna tangazo nimeona leo hii kwenye gazeti la mwananchi kuna
wanandoa kutoka kenya walikuwa wanakwenda z kwenye fungate
wamepotea hadi leo hawajulikani waliko. angalia na wewe usituletee matatizo hapa jf.
 
Hao walikuwa wageni somalia'mimi nimesomea huko haina shaka kabisa najuwana mpaka na al-shabab
 
Back
Top Bottom