Mkuu,
Bose si watengenezaji wa HT. Wameingilia tu vitengo vya watu ambavyo haviwahusu.
Jamaa ni wazuri sana kwa Spika za kwenye maholi, Maduka makubwa, mashuleni, hospital nk kwa sababu sauti zao ziko very clear ila kwenye Cinema na miziki kama concert, siyo hicho kinatafutwa.
Tuseme kunatokea mlipuko, ile sauti ya mlipuko huwa siyo NZURI na inabidi ITISHE wakati huo BOSE yeye ana sauti NYEROROOOOOOOO.........
Utalipa Mamilioni kwa vitu ambavyo waweza kuvipata kwa watu wa bei za kawaida. BOSE unaunua zaidi JINA maana kila mjuvi wa bei ya BOSE atakunyenyulia mikono. Ila hawa watu hawana historia kama akina SONY, Panasonic etc kwenye mambo ya Cinema. Wameingia tu kwa sababu wanaweza kutengeneza Spika, lakini ndiyo eneo lao? mhhh!!! Ila kama kuna watu watanunua au wagonjwa wa vifaa vya BOSE, why not take their money?