Sony ndo mpango mzima....unatakiwa ujipange coz bei ya chini ni laki kama 400,000/=.
Ila kuna LG, Samsung ni nzuri pia.
Sony zinadunda balaa.....acha kabisa......
Respect kwako pono, bt ningeshukuru endapo ungetoa specification zake, mfano uwezo (watt), # of speakers. thnx
asanteni wadau, lakin hizi nazo si wajomba ( wachina) wanaingiza? Sasa ni wapi ambapo ukinunua angalau kidogo inakua original na unaitambuaje maana kariakaoo zimejaa tele!
inabidi uwe makini,lakini pia agalia na set up ya sebule yako ndio uamue,je una space ya kutosha??una watoto??au je ni kwa ajili ya mziki wa chumbani???etc,na je una tv aina gani??flat screen au ???hayo ni baadhi ya maswali wapswa kujiuliza kabla ya kununua mziki uutakao
thanks mkuu, mimi ninaflat tv ila nataka tu mziki wa chumbani tu ambao atleast ni standard.
thnk u pono, mawazo yako yananipa mwanga angalau, sebulen langu ni la kutosha, nina flat tv...nataka k2 chenye mziki wa adabu yana hata kukiwa na kasherehe kadogo nisihangaike kutafuta kiliwazo yan kitu hiyo hiyo itumike.