kitu cha bose kinaweza kuwa na bei kubwa sana,lakini pia sio lazima upate home theatre yenye speaker tano(5.1),maana kama lengo ni mziki mzuri,nakushauri upate kitu cha philips SOUND BAR .ebana utakubali,hii kitu ni balaa,ina pray format zote hadi blu ray na 3d,pia haichukui nafasi na ukiwa na flat screen,basi umemaliza kazi
Kuna bwana mmoja anaitwa Sikonge ndiye angetoa maelezo ya kitaalam kabisa kuhusu kifaa chenye ubora ktk hizi electronics. Meanwhile endelea kutumia SEA-PIANO! Ni kabrand kazuri.
Da kaka hata mimi nimechoka kuruka nyaya za hometheatre .Hizo sound bar ni za kampuni gani i.e Philips,Sony,Boss na zinauwezo gani ,mi napenda muziki wa kilo na sebule yangu ni kubwa na flat screen yangu ni Benq ,hao jamaa wanauza shs ngapika ni mziki wa chumbani mkuu,nakushauri ununue sound bar,ambayo inakuja na hdmi cable yako,waeza kufunga tv yako ukutani na sound bar pia ukaifunga ukutani,believe me,you will never regret,hata hivyo fanya survey,kuna duka moja pale kinondoni (kama upo dar) srudio,karibu na mataa kabisa kama unaelekea nbc pale manyanya,unaweza wavisit hao jamaa,bei zao si kubwa sana,lakini pia waweza angalia katika maduka mengine
Sony zinadunda balaa.....acha kabisa......
kwa style hiyo atakuwa anawakaribisha vibaka!!maana hawapendi kusikia midundo ndani ya nyumba za watu!Sony zinadunda balaa.....acha kabisa......
bose home theatre
na je kuna utofauti gani wa utamu wa muziki utakao na radio kubwa let say sony mfano inayouzwa laki 5 na home theater ya bei hiyo hiyo...tusaidiane hapa watalaam.
Respect kwako pono, bt ningeshukuru endapo ungetoa specification zake, mfano uwezo (watt), # of speakers. thnx
Quantity: 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 Yes, I want FREE Two-Day Shipping with Amazon Prime
or Sign in to turn on 1-Click ordering. | |||||||||||||||
More Buying Choices
Have one to sell? Sell yours here | |||||||||||||||
Only 5 left in stock (more on the way). Ships from and sold by Amazon.com. |
Want it delivered Thursday, October 18? Order it in the next 23 hours and 19 minutes, and choose One-Day Shipping at checkout. Details |
16 new from $1,999.00 8 used from $924.87 4 refurbished from $1,245.99 |
Is this a gift? This item ships in its own packaging. To keep the contents concealed, select This will be a gift during checkout. |
Price: | $1,999.00 & this item ships for FREE with Super Saver Shipping. Details |
Deal Price: | |
[TD]o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o |
[h=2]Product Features[/h]
|
kitu cha bose kinaweza kuwa na bei kubwa sana,lakini pia sio lazima upate home theatre yenye speaker tano(5.1),maana kama lengo ni mziki mzuri,nakushauri upate kitu cha philips SOUND BAR .ebana utakubali,hii kitu ni balaa,ina pray format zote hadi blu ray na 3d,pia haichukui nafasi na ukiwa na flat screen,basi umemaliza kazi
sikonge bwana, umechunaaa kumbe unafuatilia madenti wako tunapeanaje shule, kweli ww mwalimu mzuri unakuwa nyuma ya madenti wanapiga paper mwishowe unatoa nondo ya marking scheme! kazi njema japo kuna lile swali la tofauti ya mziki wa radio kubwa na hometheter, umeliruka sir.
Hakuna cha Sony, LG wala Samsung.....mambo yooooteeee Bose
Mkuu Sherrif Arpaio, Bose hakuna ubishi kuhusu ubora wake, ila kwa Bongo halipi. Kwanza si rahisi kuzipata DVD zilizo katika ubora wa kiwango cha juu. Hata hizo Blu Ray sidhani kama zinapatikana, so sioni sababu ya kuwekeza milioni zaidi ya tatu halafu usipate kitu kwa ubora wake, unless kwa mtu mwenye access ya kupata DVD kutoka majuu na si mpenzi wa movie za kibongo au kinigeria.
Huo ni mtazamo wangu.
Wacha kuishusha bongo kiasi hicho, yaani una maana hakuna Blue Ray DVD's hapo bongo? Ninavyojua kila kukicha naambiwa bongo tambarare na kila kitu kipo ni fweza yako tu
Aliyekuambia hajakuambia ukweli, kama zipo Blu Ray basi ni sehemu chache sana, binafsi sijawahi kuziona pamoja na kutembelea maduka yote yanayoitwa makubwa bongo kwa vifaa vya elektroniki.
You are not serious, mkuu!
Jionee mwenyewe Bongo Blu Ray