Nyie ndio ninaowazungumzia... Wafuata mkumbo...Tatizo unajifanya mjuaji na mwenye pesa kumbe wa kuja tu, wajuaji wote wamefunga vinu kwenye magari yao ila nyumbani wameweka redio unazo ziponda ww apo.
Soundbar zipo nzuri nyingi, mfno, JBL 9.1 channel, SONY HT-A7000, SONY HT-A9.
Acha watu wanunue vitu wanavyo vipenda kwa uwezo wao sio kwamba wanafata mkumbo.
Unanunua soundbars/homethearter na unatarajia kupata Mziki wa maana.
Sony HT-A9, JBL 5.1 na 9.1, Samsung Q950A na Q990B (na nyingine nyiiiiingi) zimetengenezwa MAHUSUSI kwa ajili Movies sio kwa ajili ya Music.
Japo zinaweza kupiga "mziki mzuri" but they are not the best at that... hazitakupa Ule Mziki Halisi(hapa unaweza kubisha pia)
Zipo system kwa ajili ya mziki halisi, sio hizo soundbars au homethearter.
Mziki wa ukweli unapatikana katika 2 channel system a.k.a Stereo System a.k.a Hifi System, PERIOD.