Naomba ushauri kwa mwenye uzoefu wa kutumia Sound Bar

Jul 8, 2021
88
166
Habari wana jamii forum

Kuna tofauti gani hasa kati ya SOUND BAR na SUBWOOFER kweny swala la kuangalia MOVIE, kusikiliza MUSIC au kucheza GAME.

Maana nahitaji sound bar ila najiuliza kipi spesho inacho hadi kuwa na bei kubwa na kuhusu mkito wake ukoje.

Chakwanza nilichoipenda ni kuhusu wireless unaiunga tu na tv je vitu vingine ni vipi?
 
Yoyote ile iwe sony au jbl

Hapo vzr kama unachukua soundbar chukua ya 3:1:1
IMG_3638.jpg

Hapo hutajuta.
 
Ipo Thread Yenye Taarifa Zote Wala Hukutakiwa Kuanzisha

Sitakiwi kwa sheria ya nani jaribu kutumia lugha friendly au unasemea uzi wa subwoofer ebu jaribu kuelewa tofauti na nilichouliza kama hujui kitu unapita hivi sio lazima ucomment

Na kama ungekuepo uzi kama huu tofaut ya soundbar na subwoofer na naujua ningeuliza ili iweje jaribu kutumia akili huku sio facebook
 
soundbar sauti yake inakua inamchujo mzuri na ni nzuri kwa wasiopenda makolokolo mengi na nyaya kila sehemu pia sio zote zinamkito mzito inategemea na brand na watts nyingine ni kama viredio tu vyamkononi.....Subwoofer ni mkito mkubwa kelele za kichina ukipunguza sauti hauskii maneno ni linanguruma tu ukiongeza sauti linakita zaidi kuliko kuskia maneno incase unaangali movie
 
Back
Top Bottom