Home sweet home

Nadhani utakuwa umesoma wakati ule ambapo mwl wa maths alikuwa jamaa mmoja anaitwa Kevin, au sio?

Ummmm...nope...walimu wa hisabati niwakumbukao mimi ni Mjema na Ndomondo..

Huyo Kevin simkumbuki....
 
Mkusa actual yupo Namibia...i do get intouch with him!...he was a cool teacher mademu walikuwa wanamtolea amcho hahaah btw he is my uncle so nilikuwa anona mambo kishenzi....ulikuwa floor ipi?...

Okay kumbe!.Lazima alikuwa anaona soo na hivi niece wake yupo same institution. Nidhamu ya uoga muhimu.

Nilikuwa floor ya 3. Ile lifti ilivyoharibika kitambo kile mpaka sasa haijatengenezwa. Wewe kama ulikaa block D utakuwa ulikuwa 1-3 floors!Nimeotea tu
 
No mimi sikukaa campus nilikuwa narudi home ila nilikuw amuda mwingi na shinda nyumbani kwa uncle juu kule....eeh nilikuwa napata raha sana mademu walikuwa wanajigonga kwangu kisa uncle..lakini my uncle was handsome aliwachanganya akili sana mademu hahahaha!....

aaha ile lift mwenzangu ilivyoharibika kupanda zile ngazi hadi kule juu summit nilikuwa anchoka sometimes nilikuwa hata sioni sababu ya kwenda kule juu...unapanda ngazi then una hema kama mbwa...
 
hahahaha cucake nimesoma naona na wewe umeshakuwa msanii kama mwanakijiji tena kumshinda aaaawwwi!.....u r so creative babe mwaaah!....bravo hon!...you done did it lol!...
 
Masela mnanichanganya ujue,mara nyama choma mara kizota,mara gulio!! Point ni ipi jamani?
 
No mimi sikukaa campus nilikuwa narudi home ila nilikuw amuda mwingi na shinda nyumbani kwa uncle juu kule....eeh nilikuwa napata raha sana mademu walikuwa wanajigonga kwangu kisa uncle..lakini my uncle was handsome aliwachanganya akili sana mademu hahahaha!....

aaha ile lift mwenzangu ilivyoharibika kupanda zile ngazi hadi kule juu summit nilikuwa anchoka sometimes nilikuwa hata sioni sababu ya kwenda kule juu...unapanda ngazi then una hema kama mbwa...

Si unajua na sisi ladies kumpenda uncle hadi wewe ukawa unapendwa au wanakuwa friends wawe karibu nae. Bora huyo uncle wako aliondoka,angewachanganya akili wengi zaidi ya hao.

Kumbe ulikuwa home-chuoni,mimi ilinishinda maana first year nilipoanza tu ilikuwa hivyo ila 2nd semester ya first year ikabidi nifanye mchongo wa chumba. Siyo kama ukiwa chuoni unasoma kivile ila angalau mambo ya usafiri na vipindi vya asubuhi unawahi.

Summit kupanda tabu bado sometimes uibiwe viwalo vyako ukienda kuanika,nikaona mmh! kufua ni nyumbani tu maana hasara.

Kwanini hukubaki kufundisha lakini Kelly?!
 
Masela mnanichanganya ujue,mara nyama choma mara kizota,mara gulio!! Point ni ipi jamani?

Audax...dont get confused hizo ni sehemu mbali mbali amabzo watu wanakumbukia nyama choma hizo!...kila mtu anatoa experience zao wengine kizota bongo wengine walikuwa wanazifuatia gulio huko dodoma....vitu kama hivyo...
 
Masela mnanichanganya ujue,mara nyama choma mara kizota,mara gulio!! Point ni ipi jamani?

Nyama choma..halafu hapo kizota pia pana nyama choma siku ya gulio(mnada) yaani jioni baada ya mauzo+manunuzi mnadani kuisha.

Mengine yaliyojiri ni kutokana na kumbukumbu za maeneo ya nyama choma mpaka maeneo husika..
 
Si unajua na sisi ladies kumpenda uncle hadi wewe ukawa unapendwa au wanakuwa friends wawe karibu nae. Bora huyo uncle wako aliondoka,angewachanganya akili wengi zaidi ya hao.

Kumbe ulikuwa home-chuoni,mimi ilinishinda maana first year nilipoanza tu ilikuwa hivyo ila 2nd semester ya first year ikabidi nifanye mchongo wa chumba. Siyo kama ukiwa chuoni unasoma kivile ila angalau mambo ya usafiri na vipindi vya asubuhi unawahi.

Summit kupanda tabu bado sometimes uibiwe viwalo vyako ukienda kuanika,nikaona mmh! kufua ni nyumbani tu maana hasara.

Kwanini hukubaki kufundisha lakini Kelly?!

Kufundisha mimi?!....hell no! miye usinione na ujanja wangu hivi lakini siwezi kuongea in public nina aibu sana sana.

hahaha yaani umesema la maana kabisa uncle angewachangana wengi sana ni afadhali hata aliondoka kwa kweli...ilikuwa ni balaa kwa kwenda mbele.

Na kule summt hakuna ulinzi watu walikuwa wanapandisha tuu kiholela so huji nani mwizi!...kulianza kuwa ovyo kweli.Lile jengo jingine lile na madarasa juu mabweni lilikuwa powa sana alafu kimya compared na jengo jipya au like nyuma karibu na BOT nalo lilikuwa ovyo.
 
Balantanda

Pale Dom unapakumbuka Chako ni Chako(kama sijakosea spelling), kuku watamu kweli pale.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom