Goal 2009 nambieni msaada wenu........I am looking for Nice and Pretty girl namaanisha mzuri kweli kweli kila nikimuangalia nizidi kumtamani......
awe mrefu 5ft 6in cuz na mie mrefu sitaki awe andunje
......asiwe msomi saaana....asizidi degree moja(najua wanawake wasomi wana matatizo/wabishi ndani ya nyumba)......na prefer awe na diploma au degree moja.....isiwe degree za kigangwe kama MD,uinjinia,IT/comp,law,business najua wasichana warembo hawasomi madegree haya magumu magumu na hata kama alikuwa mrembo through ku kremu uzuri wake utapungua......nataka awe kasoma degree laini laini kama sociology,cookery,designs za nguo sio mitambo,lingustic,.....
......ajue kunyuka pamba.....sitaki mvaaji wa baibui nguo za vitenge
....awe anaringa mwenye mapozi na aibu mwenye sauti nyembamba na kila nikiongea nae aangalie pembeni au chini....sio awe mkakamavu naongea nae kanitumbulia macho bila uwoga....asiwe na manguvu meengi kama ya serena.....awe laini laini tu.......asiwe jasiri sio mwanamke anaona nyoka hata hakimbiii nataka hata akiwa anaangalia movie za kutisha ananirukia kwa kuogopa......
.......asiwe kibonge na kitambi.....i hate big momas as you know...nataka awe kipotabo kiuno chembamba,wezere liwepo but sio la kutisha liwe la wastani.......
.......asiwe mweusi saana awe na rangi kama ya Nailah Thorbourne
...awe na uso mwembamba,sitaki awe mvaa mawigi na awe na nywele ndefu kasuka zig zag.....
....asijue kila kitu....afahamu mambo yatakayo ni-intertain mie...sio ajue siasa sijui uchumi na mazaga zaga mengine ya kuumiza kichwa...huyo sio type yangu
.....ajue kupika
.......Nataka pia awe clubin girl ili tuweze kuendana na ajue kucheza ruggamufin ........asipende taarabu sipendi mipasho ya kusutana sutana.......
........sitaki mvuta fegi wala mnywa pombe au kicheche....
Hizo ni baadhi ya sifa za nimtakae....imeandikwa aombae atapewa...nami ninaomba......najua type za galz nijnaowataka hawaji JF kama unamjua ndugu yako,classmate wako au hata ur neighbour just hook me up.I'll appreciate any assistance.