Home sweet home

Mmhh jamani nami natamani, na zile fanta za bongo ni the best, sijui sababu lkn siwahi kunywa fanta tamu kama za tz. Makuku ya huku , yaani unakula tuu lkn ladha hayana kama wale wa kienyeji wa tz

ndugu yangu hayo unayosema ya kweli kabisa,sijui Fanta ya kwetu ina nini cha ziada lkn ni tofauti kabisa na za huku....
 
Hapa natokwa na mate kabisa kwa kuangalia nyama choma...yaani nakumbukia manyanya them days..nyama choma with ndizi za kuchoma huku unashushia na soda ya fanta lol!..uuuuuuuuuuuwiii..au pale kinondoni juu,chips kwa jimmy plus chachandu...duuh yani i miss nyama choma yaani ni mbuzi kwa kwenda mbele....

do you remember that>?!

3.JPG

We acha tu, nyama choma na zile chachandu plus kachumbari!

Pia nakumbukia dodoma, pale mnadani ilikuwa kila jumamosi. Ukitoka huko unatembea kwa tabu,full kushiba nyama chomaz!
 
We acha tu, nyama choma na zile chachandu plus kachumbari!

Pia nakumbukia dodoma, pale mnadani ilikuwa kila jumamosi. Ukitoka huko unatembea kwa tabu,full kushiba nyama chomaz!

Au pale forodhani shuleni walikuwa wanauza chips kuku tamu sana uchanganye na ile kachumbari yao uwiii!......daah nimejaribu kufanya kama vile huku lakini wapi!..siyo tamu hivyo aisee!...those were days sijui bado zipo zile chips za forodhani maana wale jamaa ukiwaona wanatoka jasho analifuta kwa mkono lakini watu tupoo tuu na maji wanayooshea zile chis ni meusii lakini wala tulikuwa watu hatuangalii makunyanzi hahahahaha
 
We acha tu, nyama choma na zile chachandu plus kachumbari!

Pia nakumbukia dodoma, pale mnadani ilikuwa kila jumamosi. Ukitoka huko unatembea kwa tabu,full kushiba nyama chomaz!

Unauzungumzia mnada upi Belinda,wa Maili Mbili(wa zamani),wa Kizota ama ule wa Msalato
 
Kelly
Ni kweli ukiandaa mwenyewe chips+kuku na kachumbari hazinogi kama za kununua kwa wauza chips wenyewe,unaweza kuta mazingira machafu lakini chips+kuku tamu kupita maelezo yaani sijui kwanini!..
 
Balantanda
Mnada wa zamani,huo mpya sijawahi kufika! Nimekula sana nyama choma pale siku za minada wakati nakaa dodoma!

Ule wa Maili mbili ulishafungwa siku nyingi,siku hizi ipo miwili,Msalato na Kizota,lakini haifikii ule wa zamani...Yaani namiss mnadani mpaka basi jamani
 
Lol shemeji umenikumbusha mbali sana,nyama ni moja wapo ya starehe zetu bhaguku,hope bradha kakueleza vi2 2navyovipenda sie akina Ngosha,maana sie starehe zetu ni 3: Walwa(Lwalwa),Inyama na Ny..(Lol)..Ngosha NN ulihale?????,Wapi Masanilo

Nipo mazee ubusy kidogo ila nachungulia chungulia JF!
 
duh kumbe tuliotoka dodoma wengi eeh mimi nimeishi dodoma mitaa ya babati!...unajua akina wolf?.

Siwafahamu mwaya! Nilikuwa mitaa ya kilimani,hata nikiwa TZ baada ya Dar makazi ya pili bado ni huko. Kwa utulivu bora dom ila kama huna company sana waboreka kiaina siyo kulivyo dar mana kumechangamka.

Si ndo mana niliwahi kukwambia nakujua Kelly,nimekuona mahali!..umenipata sasa?!.....
 
Yeah nakumbuka umesema unanifahamu lakini sasa badi najiuliza tumeonana wapi dodoma au Dar au arusha?
 
Ule wa Maili mbili ulishafungwa siku nyingi,siku hizi ipo miwili,Msalato na Kizota,lakini haifikii ule wa zamani...Yaani namiss mnadani mpaka basi jamani

Aisee asante sana kwa update itabidi nikaione na hiyo miwili mipya panapo majaliwa,ule wa zamani ulikuwa powa sana.Nilikuwa napenda kwenda jioni hivi napata nyama choma na kinywaji kwakweli kula pia ni starehe nzuri sana tena chakula upendacho!
 
shem mbona umekuwa mpole sana leo kulikoni?..tumekuchungulia jmosi na cupcake hukupokea ulikuwa busy nini?...kiaina fulani?hahahaha

Ohh my dia nilikuwa nimechoka ile mbaya nikalala fofofo!! Usijali nitawatafuta this week!
 
Balantanda na Belindajacob..mimi nilikuwa nakaa area D karibu na nyumba za wabunge...
 
Kazi kweli kweli hapo! Maana kote nimekaa ila Arusha nilikuwa maeneo ya Usa-River na Momela. Dar nilianzia kinondoni enzi zile kuna ukumbi wa Lang'ata ila baadae tukahamia Makongo mpaka leo hii..
Dodoma ndo nilipokutajia hapo juu. Tusije tukawa tunafahamiana lakini ndo hatujijui tukiwa JF.
Umeshatembelea sana national parks za Arusha?
 
Back
Top Bottom