Home sweet home

Home sweet home

Yes babe...nimekula hadi nikachelewa kwenda kazini. Lile omellete lilikuwa tamu sana aisee...sijui uliweka nini tu leo

Its my secret wala sikwambii nimeweka nini cupcake! hahahaha na wala siyo limbwata sijui no i dont do that...i believe in god and not vodooo! lol...
 
Huyo demu sijampata fresh! Ningejua batch ya mwaka gani ingekuwa fresh. Nilikuwa ADA halafu nilikuwa nakaa campus,block D.

Block D si lile jengo jipya karibu na cafeteria?....nimekula sana msosi wa pale cafeteria mchana!...ulikuwa wakati professor mkussa bado yupo pale au?...
 
Its my secret wala sikwambii nimeweka nini cupcake! hahahaha na wala siyo limbwata sijui no i dont do that...i believe in god and not vodooo! lol...

Haki ya nani tena Cupcake nilidhani ushanlisha limbwata...
 
Mi nilikuwa Ruby (ya wajanja hiyo). Ila mimi nimesoma hapo form 1 - 4.

Ooh! Mi mwenyewe nilikuwa Ruby,wajanja na tulikuwa tunajitahidi kwenye sport kuliko groupz zingine kama Topaz na yellow colour yao kila siku wanakuwa last.

Mimi nilisoma high school hapo!
 
Its my secret wala sikwambii nimeweka nini cupcake! hahahaha na wala siyo limbwata sijui no i dont do that...i believe in god and not vodooo! lol...

Hey hey Mazee got some stuff kutoka Hungumalwa its good for the lovely ones...si limbwata ila for sure ni voodoo first class ....worth trying can keep akina Yo Yo away!!
 
Hey hey Mazee got some stuff kutoka Hungumalwa its good for the lovely ones...si limbwata ila for sure ni voodoo first class ....worth trying can keep akina Yo Yo away!!

hahahahah!...yo yo hana chance hapa shem!...me and cupcake ni match made ni heaven....nobody will break us!...si vodoo wala nini...we pray a lot.
 
Weka nadhiri bana huwezi shindwa nakuaminia mwenzio!

of course naweka nadhiri lakini kufunga siwezi...ok nina matatizo mwenzio ndiyo maana siwezi kufunga!...i have to eat 3 meal a day unless otherwise utanikuta emergency room.
 
Heheheee...kweli Yo Yo inabidi adhibitiwe aiseee....anapenda sana kuleta fujo huyu

Vodooo from Hungumalwa will sort him out forever....kwi kwi kwi.....kuna mzee mmoja pale anaitwa Miganiko balaaa ....
 
of course naweka nadhiri lakini kufunga siwezi...ok nina matatizo mwenzio ndiyo maana siwezi kufunga!...i have to eat 3 meal a day unless otherwise utanikuta emergency room.

OK OK I can understand that...sasa nafunga na kuombea tatizo lako liishe, kwanguvu za yule aliyejuu, muweza ya yote, yupo mwanzo sasa na hata milele mponye Kelly01 wetu....itikia amina....
 
Kelly.
Mkussa hayupo sasahivi,japo sikumjua fresh..Nilikuwa pale kipindi cha principal ni Madofe/Doriye.

Yes,block D ndiyo lipo karibu na cafeteria. Hujakosea kabisa.
 
Vodooo from Hungumalwa will sort him out forever....kwi kwi kwi.....kuna mzee mmoja pale anaitwa Miganiko balaaa ....

Umelijaribu nini shem?!....mmh si bure kuna walakini hapo...sasa usije mfanya na cupcake akalifuata hilo vodoo bure.
 
OK OK I can understand that...sasa nafunga na kuombea tatizo lako liishe, kwanguvu za yule aliyejuu, muweza ya yote, yupo mwanzo sasa na hata milele mponye Kelly01 wetu....itikia amina....

Amen! shem hopefully tatizo langu litapotea forever!...nakuamini she sala zako maana ulikuwa na wito wakati fulani.
 
Kelly.
Mkussa hayupo sasahivi,japo sikumjua fresh..Nilikuwa pale kipindi cha principal ni Madofe/Doriye.

Yes,block D ndiyo lipo karibu na cafeteria. Hujakosea kabisa.

Mkusa actual yupo Namibia...i do get intouch with him!...he was a cool teacher mademu walikuwa wanamtolea amcho hahaah btw he is my uncle so nilikuwa anona mambo kishenzi....ulikuwa floor ipi?...
 
Ebana vipi? Jumamosi ulizima nini baada ya makamuzi? Maana nilikupigia nikaona kimya...nikaacha voicemail

cupcake na wewe unaaanza kuwa slow shem wangu kasema alikuwa busy na uchomvu pia sijui ndiyo hayo makamuzi?...
 
Ebana vipi? Jumamosi ulizima nini baada ya makamuzi? Maana nilikupigia nikaona kimya...nikaacha voicemail

Niliikuta asubuhi mazee, was so tired nikalala fofofo....nilifanya kazi sana mchana...huwezi amini this was alcohol free week...hizi huwa ninazo chache sana hahaah kuna kitu nilikuwa na deadline therefore I had to work kama zima moto....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom