okey
nifah u said yours, ngoja niseme yangu wala usidhubutu kuongelea swala la chuki na roho mbaya coz team kiba are the qualified, diamond did alot to be appreciated, am talking about tangible things but u had never aknowledge zaidi ya kumponda tuuuuu,
nyie mnaomponda dai kuwa sio lolote sio chochote kila jina baya mnampa kwenu hiyo ni sawa?? hiyo sio chuki?? japo kiuhalisia diamond anafanya vizuri lakini team kiba mmekuwa mkimponda tuu no matter how best he tried, hiyo sio chuki na roho mbaya??? sasa turudi kwa kiba, kiba ninamponda coz ni kweli hajafanya vizuri as your claiming,
his perfomance is going down ward instead, nikiongelea wimbo wa mwana kuwa bora kuliko cheketua at his level YESSSSSSSSS!! mwana is boura kuliko chekechua, huko nyuma huko uliporefer ni kweli niliuponda mwana nikiucompare na nyimbo za dai sasa nimeukopea na wimbo wake mwenyeweee cheketua,
what i was expecting from kiba baada ya kuitoa mwana akiwa amepanic kwa nia ya kuja kumfuta dai kwenye ramani ya mziki as for which hakufanikiwa, angetulia atoe kitu ambacho kingekuwa like WOOOOW!!! this is truly a KING, but with this cheketua of yours!!??? its like OMG!!! what the hell is this??? najua inakuwa ngumu kumeza lakini ukweli ndio huo! am soleeee anyway!!!!!!