Home Boy wangu Ali Kiba na matangazo clouds

Home Boy wangu Ali Kiba na matangazo clouds

Hivi kumbe Kiba alitoa nyimbo kwa nia ya kuja kumfuta Diamond kwenye ramani ya muziki???? Ndo Kiba aliwaambieni hivyo au hisia zenu tu tokana na mapokezi ya mashabiki?

sidhani kama umesahau, zile mbwembwe alizokuja nazo za back of the king, alianza na huu usemi nimekuja kuchukua kiti changu, (akae miaka mitatu benchi ategemee atakuwa kwenye nafasi ile ile?? hell NOO!!)

akaona hiyo hainogi ataonekana kumbe alishapitwa, akabadilisha nimekuja kufuta vumbi tu kiti changu akimaanisha hakijawahi kukaliwa na mtu, hapa ndipo aliponichefua, kwani wakati anaongea kwa nyodo hizi diamond alishaufikisha mziki wa bongo flava katika level ambayo hakuna msanii wa bongo aliyekwisha ufikisha pale.
 
nifah,

oukey!! sasa nimekuelewa nifah, sasa skia mimi nipo hapa kiteam and NEVER personal, so kwa yeyote atakaye jiskia kunijibu anijibu kiteam, its known and obvious team kiba against mond, based on facts, kwa atakaye jiskia kutukana inakuwa ni hulka yake tu kwa wakati huo ni kuwapotezea, SO my friend nifah if u do think u can pick a conversation with I PERSONALLY,

EITHER positive OR negative katika mada yoyote ile PITA HIVI >>>> hunijui sikujui hivi ninaanzaje kuku attach wewe kama NIFAH kwa mfano??? nitakuwa mwenda wazimu, LAKINI when come to team kiba ninawajua na team mond nawajua BASED on the conversation i normally see here in JF kwenye post mbali mbali hasa zile zinazowaongelea hawa wasanii wawili,

SO if at all u need to get into any conversations with me njoo kiteam HAPO NDIPO NITAKUWA NA UWEZO WA KUKUELEZA KINAGAUBAGA NI JINSI GANI TEAM KIBA WANA ROHO MBAYA, CHUKI, HUSDA, AGAINST DIAMOND and in return mnakutana na team mond wenye roho mbaya chuki and all that against kiba. NI IVO YANI BLACK AND WHITE, MNAMCHAMBA MOND TUNAMCHAMBA KIBA, kwani sh. ngapi???

MB 8 sio tatizo kwetu.
 
Last edited by a moderator:
sidhani kama umesahau, zile mbwembwe alizokuja nazo za back of the king, alianza na huu usemi nimekuja kuchukua kiti changu, (akae miaka mitatu benchi ategemee atakuwa kwenye nafasi ile ile?? hell NOO!!)

akaona hiyo hainogi ataonekana kumbe alishapitwa, akabadilisha nimekuja kufuta vumbi tu kiti changu akimaanisha hakijawahi kukaliwa na mtu, hapa ndipo aliponichefua, kwani wakati anaongea kwa nyodo hizi diamond alishaufikisha mziki wa bongo flava katika level ambayo hakuna msanii wa bongo aliyekwisha ufikisha pale.

Tatizo mie akili zangu mbili mpendwa wangu halafu sinaga memory card kichwani,hata ukijitahidi kunielewesha utasumbuka tu.....sijui kwa vile nimeasi Avemaria mie na Kwaresma hii eti nakunywa viroba!! Mweeeeh!!!
 
oukey!! sasa nimekuelewa nifah, sasa skia mimi nipo hapa kiteam and NEVER personal, so kwa yeyote atakaye jiskia kunijibu anijibu kiteam, its known and obvious team kiba against mond, based on facts, kwa atakaye jiskia kutukana inakuwa ni hulka yake tu kwa wakati huo ni kuwapotezea,

SO my friend nifah if u do think u can pick a conversation with I PERSONALLY, EITHER positive OR negative katika mada yoyote ile PITA HIVI >>>> hunijui sikujui hivi ninaanzaje kuku attach wewe kama NIFAH kwa mfano??? nitakuwa mwenda wazimu, LAKINI when come to team kiba ninawajua na team mond nawajua BASED on the conversation i normally see here in JF kwenye post mbali mbali hasa zile zinazowaongelea hawa wasanii wawili,

SO if at all u need to get into any conversations with me njoo kiteam HAPO NDIPO NITAKUWA NA UWEZO WA KUKUELEZA KINAGAUBAGA NI JINSI GANI TEAM KIBA WANA ROHO MBAYA, CHUKI, HUSDA, AGAINST DIAMOND and in return mnakutana na team mond wenye roho mbaya chuki and all that against kiba. NI IVO YANI BLACK AND WHITE, MNAMCHAMBA MOND TUNAMCHAMBA KIBA, kwani sh. ngapi???

MB 8 sio tatizo kwetu.

Paula hivi unaongea makorokocho gani? Tokea mwanzo unaelewa nimekuuliza nini? Kwahili naona kabisa you are too low to argue with me.Sikuwahi kufikiri kama wewe ni mburula kiasi hiki!
 
Paula hivi unaongea makorokocho gani? Tokea mwanzo unaelewa nimekuuliza nini?
Kwahili naona kabisa you are too low to argue with me.Sikuwahi kufikiri kama wewe ni mburula kiasi hiki!

hahahahaaaaaa naona ulikuwa umeshapanga verse zako mwenyewe za kunichaaaambaaa! sasa naona roho haitakutulia mpaka uzishushe, haya basi as u said leo wewe na mimi, embu shusha mambo sasa mimi nitakuwa napita na like, BUT AS FOR ME MY DEAR, AM TECHNICALLY DONE WITH YOU.
 
Kuna some person yamempanda kichwani no wonder anahorojoka tu. Eti kiuhalisia hatuipendi cheketua ila tunavumilia kuupenda.......yaani nimecheka cheko la dharau kiasi kwamba angeniona/kusikia angetapika kamasi!!

Huyo ndo Kiba mamaaa full of suprises.......yaani kivingineeee! nifah karibu mahindi ya kuchoma na juice ya ndulele tuendelee kudumisha afya ya akili.
ha ha kweli yamewapanda kichwani!!
 
Last edited by a moderator:
Unapigiwa promo kama soda za cocacola.

promo sio tatizo, japo walisema kizuri chajiuza lakini mambo yamechange siku hizi ujue, biashara matangazo. Mimi kinachonivunja mbavu ni kitu kinachopigiwa promo, na nguvu zinazotumika alafu kitu hata hakisogei, yani sound so sad jamani over underground fighting soooo hard kutoka.
 
Yani wewe mojawapo kati ya haya linakuhusu:-
1. Mchawi
2.Upo kwenye succession plan ya kurithishwa uchawi.
3.Mchoyo
4.Roho ya korosho au
5.Unemployed
 
Yani wewe mojawapo kati ya haya linakuhusu:-
1. Mchawi
2.Upo kwenye succession plan ya kurithishwa uchawi.
3.Mchoyo
4.Roho ya korosho au
5.Unemployed

hahahahahahahaaaaaaa umepatia mia mia yani unawauma kiba akisemwaeeeee??? DIAMOND yeye ana moyo wa chuma siyooo!!! pita kuleeeeeeeeee!!!
 
Amna bwana Clouds Wanaboa kishenz Hata kama ni Promo lakin c o kiivi Clouds wame ng'ang'ana mno na huyu Alli kiba
 
Ila Ally K na Domoli naona sasa imewatosha wafungue biashara tuu waendelee na maisha mengine mzika washadunda
 
Ubunifu ni nini ?

Before uliwahi Kuckia maneno "chekecha cheketua" ?

nimewahi kusikia tena zamani sana na hiyo rythm ni common sana, hakuna jipya kwenye hiyo chekecha cheketua. Ok, watu wanachukuaga vitu ambavyo tayari vipo kama alivyokuwa akifanya Mr. Nice ila ubunifu wake ulifanya nyimbo kuonekana nzuri. Kwa ufupi, kwa mtazamo wangu, huu wimbo wa ali kiba wa chekecha cheketua ni mdogo sana.

Ingekuwa zile enzi za santuri na kanda ningesema unafaa kujaziliza nafasi iliyobaki lakini si wa kututoa mapangoni. Na yumkini ndio maana matangazo yamekuwa mengi kila sasa kila saa mpaka nimechoka. Kizuri kinajiuza bhana. Chekechaaaa cheketua...hiyo tu? bado sana.

Aaah kumbe zamani sana sasa Mimi na wenzangu ndio tumelickia kwake

Kupiga matangazo ya show za chekecha cheketour ndio ww unachoka
Unaijua biashara ww?
m khbui
Jamani mbona mnanichanganya huyu Alikiba ni Mwanamitindo au Mtangazaji na hiyo chekecha cheketour wanafanya utalii wapi na sie tukashangae hao wanyama au uoto wa asili.

Kama ni kiswahili nachofahamu ni Chekecha Chekechua
 
Back
Top Bottom