Ziggy Sobotka
Member
- Feb 13, 2019
- 19
- 36
Ukarasa mpya umefunguliwa katika kuutangaza na kusambaza habari za ushoga na wanaharakati wa kutetea mapenzi ya jinsia moja.
Tunajua nguvu ya Hollywood katika ulimwengu wa sasa kwa jinsi wanavoshepu dunia yetu.
Cartoon ya Arthur inayopendwa na sana na watoto karibu duniani kote imekuwa ikioneshwa kwa muda mrefu sana ikionesha Mwalimu anayeitwa Arthur akifunga ndoa na mwanaume mwingine kanisani imeamsha hisia tofauti kwa wapenzi wa Cartoon hiyo na namna gani italeta athari kwa watoto.
Kama jamii ya kitanzania hili suala ni la muhimu kwa jamii yetu na kizazi chetu cha watoto wetu, mambo si mambo kwenye hili swala la ishoga.
Nini maoni yako kuhusu vitu wanavoangalia watoto zetu