Hollywood na kuutangaza ushoga wahamia kwa kasi katika cartoon za watoto

Ziggy Sobotka

Member
Feb 13, 2019
19
75
Ukarasa mpya umefunguliwa katika kuutangaza na kusambaza habari za ushoga na wanaharakati wa kutetea mapenzi ya jinsia moja.

Tunajua nguvu ya Hollywood katika ulimwengu wa sasa kwa jinsi wanavoshepu dunia yetu.

Cartoon ya Arthur inayopendwa na sana na watoto karibu duniani kote imekuwa ikioneshwa kwa muda mrefu sana ikionesha Mwalimu anayeitwa Arthur akifunga ndoa na mwanaume mwingine kanisani imeamsha hisia tofauti kwa wapenzi wa Cartoon hiyo na namna gani italeta athari kwa watoto.

Kama jamii ya kitanzania hili suala ni la muhimu kwa jamii yetu na kizazi chetu cha watoto wetu, mambo si mambo kwenye hili swala la ishoga.

Nini maoni yako kuhusu vitu wanavoangalia watoto zetu

IMG_0991.JPG
IMG_0993.JPG
 

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
917
1,000
Ukarasa mpya umefunguliwa katika kuutangaza na kusambaza habari za ushoga na wanaharakati wa kutetea mapenzi ya jinsia moja. Tunajua nguvu ya Hollywood katika ulimwengu wa sasa kwa jinsi hnavoshepu dunia yetu. Carton ya Arthur inayopendwa na sana na watoto karibu duniani kote imekuwa ikioneshwa kwa muda mrefu sana ikionesha Mwalimu anayeitwa Arthur akifunga ndoa na mwanaume mwingine kanisani imeamsha hisia tofauti kwa wapenzi wa Cartoon hiyo na namna gani italeta athari kwa watoto. Kama jamii ya kitanzania hili suala ni la muhimu kwa jamii yetu na kizazi chetu cha watoto wetu, mambo si mambo kwenye hili swala la ishoga. Nini maoni yako kuhusu vitu wanavoangalia watoto zetu View attachment 1098109 View attachment 1098110
Daaaaaah..

Lord have mercy.
 

sikuzamwisho

Member
Apr 12, 2019
47
150
Kiukweli movies na tamthiliya kwa sasa hasa 2019 zinamaudhui ya kishoga Tazama love kills Inaanza anaonekana shoga,Pimp kaigiza Binti msagaji na tamthiliya sex education ni full ushoga kaigiza dogo Mwenye asili ya Rwanda.
 

jozzeva

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
2,198
2,000
Kila kitu si mnacopy kutoka western country,kopini na hayo si mnajifanya wazungu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom