Chukua tahadhari dhidi ya mwanao za kupambana na ushoga kabla serikali haijatoa tamko namna gani ya kuutokomeza

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,730
Zimepita nyuzi nyingi sana humu zikipiga kelele nakuonyesha namna gani ushoga inazidi kukua na nyuzi zingine zimepeleka hamasa kwa serikali kuwa itoe tamko dhidi ya ongezeko la ushoga mtaani.

Vita ya kutokomeza ushoga ni vita kubwa sana kuliko hata tunavyodhani nakulichukulia Jambo hili kiwepesi wepesi.

Ndiyoooo, hii vita ni sawa "nakumpiga tembo dole " je unadhani tembo atakapo geuka Nini kitatokea??

Jibu unalo ni kuwa lazima akusambaratishe nakukugawa vipande viwili na Kama ukibahatika kutoka hakika hutokuja kurudia tena.

Hii vita ya ushoga haina tofauti kabisa nakuchezea makende ya simba, kiufupi hii vita dhidi ya ushoga ni vita kweli kweli yenye mizizi na minyororo mikubwa ndani ya siasa kwa ujumla.

Nafikiri naanza kueleweka, haya Sasa nakufumbua ubongo,
Nakumbuka miaka michache iliyopita alikuja bwana David kutoka uingereza alikuja na zawadi ya mkataba Kisha aliuacha pale magogoni ikulu, lakini hakuna ajuaye mpaka Sasa Nini kiliendelea ndani ya huo mkataba.

Je, umeyasikia ya Uganda? Baada ya Museveni kupiga vita dhidi ya ushoga mabeberu watetezi wa ushoga wamekuja juu sana tena ni mataifa makubwa yenye nguvu kubwa kiuchumi hapa duniani nakuanza kuikolomea Uganda.

Kwa mantiki hiyo basi tusitegemee mamlaka husika ndani ya nchi yetu kutolea ufafanuzi au namna gani jinsi yakujilinda na ushoga kwa haraka Kama tunavyotoa hamasa.

Tuanze kujikinga wenyewe kwanza dhidi ya ushoga kwa kufuata kanuni hizi ili tuwalinde watoto wetu, vijana wetu na majirani zetu.

(1) Kutoa elimu katika familia yako ya Mara kwa Mara. Ewe mzazi mlezi huu ni muda wakuwafumbua watoto wako wa kiume waeleze madhara ya ushoga na ni namna gani ni hatari kushiriki ngono ya jinsia moja haswa kuingiliwa kinyume na maumbile.

(2) Epusha watoto wa kiume wenye umri mdogo kulala na wageni wakiume kutoka huko walipo toka. Uchunguzi mdogo nilioufanya hata hawa wageni kutoka huko vijijini iwe wajomba na ndugu wanawaingilia sana watoto wa kiume nakuwaharibu mpaka uje kushituka mzazi mtoto kaishaharibika

Mfano tu mzuri Kuna majitu yanabaka mpaka ng'ombe, mbuzi kondoo leo uje ulipe lilale na mtoto wako wa kiume kwa Nini lisimbake.

Kama huna nafasi yakulala Bora umwambie asije mjini tu maana wasi wasi ndiyo akili.

(3) Fuatilia nyenendo za marafiki wa mtoto wako kwa ukaribu kabisa, unatakiwa kujua mwanao anacheza na Nani yupo na kundi gani je ni marafiki sahihi kwake hiyo itasaidia sana.

(4) Usiwaamini sana hawa viongozi wa dini Kama maustazi na hawa wanaokaa na watoto huko kwenye mafundisho.

Kuwa karibu na mwanao mfanye rafiki akitoka mafundisho au madrasa anaweza akakuambia lolote zuri au baya analofanyiwa huko na viongozi wanaomfundisha dini.

Maana huku napo Kuna machafuko sana watoto wanalawitiwa sana na kubakwa angali ni watoto wadogo haifai kabisa kuwaamini kwa asilimia mia.

(5)Maudhui, nyimbo na season za kwenye matv, mzazi kuwa makini Kuna baadhi ya filamu zina maudhui ya ushoga mpaka mtoto anaona ushoga ni jambo la kawaida sana mwisho wa siku anatumbukia kuja kushituka mtoto amekwisha haribika.

(6) Mtoto wako Lea mwenyewe, Mambo yakumpeleka kwa mjomba sijui kwa Babu sijui kwa kaka ni hiyo nayo inachangia kiasi kikubwa sana hasa atakapofika huko AKAANZA kuingiliwa na mtoto wa kaka yako au mjomba wako hata Kama mzazi ukija kugundua hautokua na sauti nakumaliza Mambo kifamilia.

(7) Peleka bweni mtoto wako katika umri sahihi yaani akiwa anajitambua anajua zuri na baya, huku ndiyo Kuna chanzo kikubwa Cha ushoga na usagaji na mtoto akitumbukia tu ni ngumu sana kutoka kwani ni Kama matumizi ya madawa yakulevya.

My take, kila mzazi alinde mtoto wake kwa udi na uvumba maana vita ya ushoga ni vita kubwa sana,
Imagine unapokea taarifa kuwa mwanao ni shoga sijui utajisikiaje?

Tulinde watoto wetu wa kiume dhidi ya ushoga.
 
Wazazi wana muda? Muda wa kuzaa upo, kulea wanasukumiwa watu baki!
 
Wazazi wanawasukumia mzigo waalimu na sisi walimu na sisi walimu tunadhani mtoto ameharibikia nyumban baaasi daaaaah
 
Na muwache kuwafatilia wale watangazaji kwenye zile media
Maana huko wamejaaa mashg kibao

Na waazuieni watoto kusikiliza baadhi ya miziki ya sasa bongo

Ova
 
Kweli kabisa mkuu hiyo nayo point
 
Watu wameamua kufirana hii balaa
 
Namba 7 ni changamoto. Hakuna umri unaweza kusema ni sahihi au ambao mtoto anajitambua.
Kwa ufupi, tekeleza wajibu wako wa malezi kwa mtoto wako, mengine yatakayofuata, yawe mema au mabaya ni uamuzi wake.
Tuna viongozi wezi hakuna mfano, je lawama wapewe wazazi wao? Wizi, uzinzi, ushoga, ulevi n.k. ni tabia mbaya zinazomhusu anayezitenda!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Zimepita nyuzi nyingi sana humu zikipiga kelele nakuonyesha namna gani ushoga inazidi kukua na nyuzi zingine zimepeleka hamasa kwa serikali kuwa itoe tamko dhidi ya ongezeko la ushoga mtaani.

Vita ya kutokomeza ushoga ni vita kubwa sana kuliko hata tunavyodhani nakulichukulia Jambo hili kiwepesi wepesi.

Ndiyoooo, hii vita ni sawa "nakumpiga tembo dole " je unadhani tembo atakapo geuka Nini kitatokea??

Jibu unalo ni kuwa lazima akusambaratishe nakukugawa vipande viwili na Kama ukibahatika kutoka hakika hutokuja kurudia tena.

Hii vita ya ushoga haina tofauti kabisa nakuchezea makende ya simba, kiufupi hii vita dhidi ya ushoga ni vita kweli kweli yenye mizizi na minyororo mikubwa ndani ya siasa kwa ujumla.

Nafikiri naanza kueleweka, haya Sasa nakufumbua ubongo,
Nakumbuka miaka michache iliyopita alikuja bwana David kutoka uingereza alikuja na zawadi ya mkataba Kisha aliuacha pale magogoni ikulu, lakini hakuna ajuaye mpaka Sasa Nini kiliendelea ndani ya huo mkataba.

Je, umeyasikia ya Uganda? Baada ya Museveni kupiga vita dhidi ya ushoga mabeberu watetezi wa ushoga wamekuja juu sana tena ni mataifa makubwa yenye nguvu kubwa kiuchumi hapa duniani nakuanza kuikolomea Uganda.

Kwa mantiki hiyo basi tusitegemee mamlaka husika ndani ya nchi yetu kutolea ufafanuzi au namna gani jinsi yakujilinda na ushoga kwa haraka Kama tunavyotoa hamasa.

Tuanze kujikinga wenyewe kwanza dhidi ya ushoga kwa kufuata kanuni hizi ili tuwalinde watoto wetu, vijana wetu na majirani zetu.

(1) Kutoa elimu katika familia yako ya Mara kwa Mara. Ewe mzazi mlezi huu ni muda wakuwafumbua watoto wako wa kiume waeleze madhara ya ushoga na ni namna gani ni hatari kushiriki ngono ya jinsia moja haswa kuingiliwa kinyume na maumbile.

(2) Epusha watoto wa kiume wenye umri mdogo kulala na wageni wakiume kutoka huko walipo toka. Uchunguzi mdogo nilioufanya hata hawa wageni kutoka huko vijijini iwe wajomba na ndugu wanawaingilia sana watoto wa kiume nakuwaharibu mpaka uje kushituka mzazi mtoto kaishaharibika

Mfano tu mzuri Kuna majitu yanabaka mpaka ng'ombe, mbuzi kondoo leo uje ulipe lilale na mtoto wako wa kiume kwa Nini lisimbake.

Kama huna nafasi yakulala Bora umwambie asije mjini tu maana wasi wasi ndiyo akili.

(3) Fuatilia nyenendo za marafiki wa mtoto wako kwa ukaribu kabisa, unatakiwa kujua mwanao anacheza na Nani yupo na kundi gani je ni marafiki sahihi kwake hiyo itasaidia sana.

(4) Usiwaamini sana hawa viongozi wa dini Kama maustazi na hawa wanaokaa na watoto huko kwenye mafundisho.

Kuwa karibu na mwanao mfanye rafiki akitoka mafundisho au madrasa anaweza akakuambia lolote zuri au baya analofanyiwa huko na viongozi wanaomfundisha dini.

Maana huku napo Kuna machafuko sana watoto wanalawitiwa sana na kubakwa angali ni watoto wadogo haifai kabisa kuwaamini kwa asilimia mia.

(5)Maudhui, nyimbo na season za kwenye matv, mzazi kuwa makini Kuna baadhi ya filamu zina maudhui ya ushoga mpaka mtoto anaona ushoga ni jambo la kawaida sana mwisho wa siku anatumbukia kuja kushituka mtoto amekwisha haribika.

(6) Mtoto wako Lea mwenyewe, Mambo yakumpeleka kwa mjomba sijui kwa Babu sijui kwa kaka ni hiyo nayo inachangia kiasi kikubwa sana hasa atakapofika huko AKAANZA kuingiliwa na mtoto wa kaka yako au mjomba wako hata Kama mzazi ukija kugundua hautokua na sauti nakumaliza Mambo kifamilia.

(7) Peleka bweni mtoto wako katika umri sahihi yaani akiwa anajitambua anajua zuri na baya, huku ndiyo Kuna chanzo kikubwa Cha ushoga na usagaji na mtoto akitumbukia tu ni ngumu sana kutoka kwani ni Kama matumizi ya madawa yakulevya.

My take, kila mzazi alinde mtoto wake kwa udi na uvumba maana vita ya ushoga ni vita kubwa sana,
Imagine unapokea taarifa kuwa mwanao ni shoga sijui utajisikiaje?

Tulinde watoto wetu wa kiume dhidi ya ushoga.
Nadhani hapa kitu kikubwa ni kutoa malezi mazuri kwa watoto wetu na kuwalinda dhidi ya mazingira yote yanayopelekea ushawishi wa hivi vitendo
 
Wazazi wana muda? Muda wa kuzaa upo, kulea wanasukumiwa watu baki!
Na hili ni tatizo kubwa sana linalochangia kuleta huu upuuzi...unakuta wazazi kwa mwezi mzima wanakuwa na watoto wao kwa siku 2 au 3 za mwezi
 
Back
Top Bottom