Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
Ulimi hauna mfupa
Last edited by a moderator:
Ila mfupa una ulimi, right?Ulimi hauna mfupa
Ila mfupa una ulimi, right?
We umeona mfupa gani una ulimi?
Sema hakyamungu...............
Hebu twende PM tukanong'onezane tulivyomisiana.Kweli tena.......
Mfupa wa mdomoni:llama:
Hebu twende PM tukanong'onezane tulivyomisiana.
Kipya kinyemi ingawa kidonda ujue....Kwa kuwa una kipya ndio maana unaleta pozi ipo siku yako tu
Kipya kinyemi ingawa kidonda ujue....
Ila mavi ya kale hayanuki, usisahau.
Yaani lishetani tu linaweza kukuvamia...... mi ndo maana silipendagi sana lishetani likusogeleeHahaa mi nawewe tena hadi ntakumwagaje kwa mfano
I swear....Realy??