Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
Yaani lishetani tu linaweza kukuvamia...... mi ndo maana silipendagi sana lishetani likusogelee
I swear....
Am here for you babu
Yaani lishetani tu linaweza kukuvamia...... mi ndo maana silipendagi sana lishetani likusogelee
I swear....
:llama::llama::llama::llama::banghead:😎😎😎😎
Ntakuletea limbwata mwenyewe uniwekee kipenzi changu.....Niwe kipofu kwa wanadamu wote wa jinsia ya kikeNipende mimi tu babu eeh! ..
Hahahahaha yule naye wamwita kipenzi? Sikushangai lakini hata mtetea kipenzi chake jogoo...:A S-eek::A S-eek::A S-eek:Ndio mnaanza kuniringishia eeeh.Ngoja na mie nimuite kipenzi changu.......
Ntakuletea limbwata mwenyewe uniwekee.....
Nahisi kama huniwekei la kutosha..... usibanebane vikina Honey Faith havichelewi kwenda Bagamoyo.Hee kumbe lile nililoweka halitoshi?
Nahisi kama huniwekei la kutosha..... usibanebane vikina Honey Faith havichelewi kwenda Bagamoyo.
Ngoja niongezee vikorombwezo
Hahahahaha yule naye wamwita kipenzi? Sikushangai lakini hata mtetea kipenzi chake jogoo...:A S-eek::A S-eek::A S-eek:
Nahisi kama huniwekei la kutosha..... usibanebane vikina Honey Faith havichelewi kwenda Bagamoyo.
Ewaaaa......... mwili wote umesisimka juu yako.
Hebu twende PM tukapange mikakati ya kiutu uzima kwanza....
Hebu jaribu tuone......... Usithubutu kukutwaaaaMie nikikuendea bagamoyo si hata ndani utakuwa hautoki?Hapa nipo mie kama mie lakini umechanganyikiwa na je nikizidishaaaaa😀🙁
Realy??
Yaani lishetani tu linaweza kukuvamia...... mi ndo maana silipendagi sana lishetani likusogelee
I swear....