thanks sana kwa salamu kiwatengu na mkeo...napenda kuwakumbuka kwa michango na jokes zao ,.holiday njema woote na mungu awape baraka zaid kwa mwaka ujao.. mokoyo now umehamia kwa khantwe jitahid mwakani mmpate mtoto,my special tized ntuzu upo kweli? Bazazi mpo wapi siwaoni mwekundu asprin n kaizer best miss neddy, honey faith dinazarde tumboo manka m miss chagga najiulza makani utajiita nani bet kan'tangaze
michango yenu ni muhimu sana eiyer watu 8 bak mungu awabarik wote
thanks sana kwa salamu kiwatengu na mkeo...napenda kuwakumbuka kwa michango na jokes zao ,.holiday njema woote na MUNGU awape baraka zaid kwa mwaka ujao.. Mokoyo now umehamia kwa Khantwe jitahid mwakani mmpate mtoto,my special Tized Ntuzu upo kweli? bazazi mpo wapi siwaoni mwekundu Asprin n Kaizer best miss neddy, Honey Faith Dinazarde Tumboo Manka m miss chagga najiulza makani utajiita nani bet kan'tangaze
michango yenu ni muhimu sana Eiyer Watu 8 BAK MUNGU AWABARIK WOTE
Ahsante my wiii nakutakia heri ya krismass na mwaka mpyaaaa
Ila siku mbili hizi pangekuwa na thread ya kutoa makavu laivu ningefurahi sana.
Kuna watu wawili watatu wamenikwaza ningewachana weee halafu yaishe nianze mwaka vizuri.
Mbona babu na mie umenisahau????
Hapana bwana, mbona nimewaalika wajukuu zangu wote kula mwaka mpya kwa bibi?
Karibu sana kwa bibi!