Honey Faith tuu hapa wewe unajua tunamuongelea nani hapa
Honey Faith liko bandarini sasa wewe ukimuuliza huyo na akakataa si itakuwa balaa
Yashanipata kumbe yamemfikia mamaafacebook
Ahhhha tena mengi
Soma alama za nyakati mamdogo. Anakupenda kama ........ndio nani huyo??
unataka kunambia kuna nini cha ziada umekisahau kwake nkupatie
Wewe mbona unakuwaga kimbele front kunishtakia kwa mume wangu unadhani sijisikii vibaya?
Najua utarudi tu nikumiliki peke yangu. Kwa sasa nenda tu
Pole my bibi haikuwa kusudio langu
kawaida tu.....nipe vyote....
Kwa hiyo unalipizia?
Eeeeeh mwendo mdundo.Haujui navyokoromewaga tu.........
Bas kuanzia leo tusisemeleane sawa wii?
Aninunulie na Mimi Sio wewe peke yako tu!
Vyot???
Tatizo nikiona kaka yangu anaibiwa najisikia vibaya kwa hiyo siwezi kuacha......
Piga kimya bwana kwani umesikia inaisha ile?