Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Haya kipi kikuchekeshacho
Mjukuu wako kanitekenya......
Haya kipi kikuchekeshacho
Kama hawajaelewa hawaelewi tena,
Cc MO11
Nilitaka tu kuweka kumbukumbu vizuri, haya kwanza unaumwa kifua usipige kelele sana
Naona unajipigia promo
Soma alama za nyakati mamdogo. Anakupenda kama ........ndio nani huyo??
Wasipoelewa wasubirie picha za harusi.
Na umejuaje kifua kinanisumbua?
Naona unajipigia promo
Waende kabisa kule jf photos zitafika soon....
Nikwasababu nakujua
lazima aise kwani nisipojipa promo nani atanipa mamaafacebook MO11 mwenyewe ndo huyo ana wivu kama kidonda hafai hata kulumangia
Mjukuu wako kanitekenya......
bora umeona anajipigia promo tu
Honey Faith tuu hapa wewe unajua tunamuongelea nani hapatatizo unajipa promo kwa nani ??
Honey Faith liko bandarini sasa wewe ukimuuliza huyo na akakataa si itakuwa balaaShikamoo kaka.Eti Mr Rocky anataka kuninunulia BMW je nikubali????
Mate nilitaka yampate Mr Rocky kumbe na wewe yamekupata????.....lol
lazima aise kwani nisipojipa promo nani atanipa mamaafacebook MO11 mwenyewe ndo huyo ana wivu kama kidonda hafai hata kulumangia
Najua utarudi tu nikumiliki peke yangu. Kwa sasa nenda tu
Yani my wii wewe pia huwa unaniacha njia panda sana
Masikio hayooo...nimekuambia toka asubuhi