hawafai kabisa wanapanga mipango ya kutoa uhai wangu kabisa
Sasa ndio nini nampenda kama.............. yangu
Ningevaa bulletproof mda wote
Hashindwi na halegei mtu hapa mbona mamaafacebook unanitakia mabaya aise akishindwa na kulegea nanihii si nitaitwa jina jingine hapa
Hakuna cha chuki binafsi we ile BMW anayotembelea Honey Faith ulijua imeshuka kwa miujiza au ilikuwaje
hasagi mtu sumu hapa ni mwendo wa kwenda mbele tuu
cc Honey Faith
wanaweza kuelewana lakini.....
yaani bora ulegee kabisa kabisa
thank u mamaafacebook
i love you mwaa mwaa mwaa
hawa jamaa wana chuki binafsi tu kuna utafiti huyu ndio namba moja na Mr Rocky a.k.a msaga sumu
sikiliza nikwambie Honey Faith ujanja ni kupata sio kuwahi
Happy xmass my family members...special to my mam Felista my Dady Aloyce my brothers and my sisters...i love you all.
Na nashukuru nimeishampata sasa hivi najivinjari tu
yaani bora ulegee kabisa kabisa
halegei mtu hapa aise ikilegea may be iwe imeingia kwenye lile shimo la wote futi sita kwa sita kitu ngangari muda wote
cc Honey Faith na mamaafacebook
Hongera
Hahahahaha
Wakome