Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

Weee acha kabisa kumdhihaki huyo mtu tena ushindwe naulegeeee ikibidi upotee

Hashindwi na halegei mtu hapa mbona mamaafacebook unanitakia mabaya aise akishindwa na kulegea nanihii si nitaitwa jina jingine hapa

thank u mamaafacebook
i love you mwaa mwaa mwaa
hawa jamaa wana chuki binafsi tu kuna utafiti huyu ndio namba moja na Mr Rocky a.k.a msaga sumu

sikiliza nikwambie Honey Faith ujanja ni kupata sio kuwahi

Hakuna cha chuki binafsi we ile BMW anayotembelea Honey Faith ulijua imeshuka kwa miujiza au ilikuwaje

Tena huyu Mr Rocky ndomsaga sumu hasa anaonekana hata kwa macho ya kawaida bila kuzoom

hasagi mtu sumu hapa ni mwendo wa kwenda mbele tuu
cc Honey Faith
 
Last edited by a moderator:
Hashindwi na halegei mtu hapa mbona mamaafacebook unanitakia mabaya aise akishindwa na kulegea nanihii si nitaitwa jina jingine hapa

Ahhhhhhhhahhhhhha

Hakuna cha chuki binafsi we ile BMW anayotembelea Honey Faith ulijua imeshuka kwa miujiza au ilikuwaje

Mjukuuu wangu!!!

hasagi mtu sumu hapa ni mwendo wa kwenda mbele tuu
cc Honey Faith
Ntawaona huko muendako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom