Holiday Greetings, Tuma salaam

mkuu thanks,salamu zikuendee pia huko ulipo x-mass hii lazima mbuzi apoteze uhai.

nikianza na familia za humu,salamu zifikie kwa familia ya Ntuzu na mke wake Khantwe utafiti na mke wake(miss neddy)@mafikizolo MO11 mshana jr ladyfurahia Madame B na wengineo wengi
 
Last edited by a moderator:

Unapopata salamu kama hizi kuna faraja ndani ya moyo inakujia na kuona kwamba kumbe kuna umuhimu mkubwa tu wakusalimiana..leo Baba Mr Rocky amemkumbuka mtoto wake wa kambo...shikamoo Baba.,
 
Mkuu huu ugali wa mtama na matembele ya chukuchuku huuwezi......

Mkuu KikulachoChako hapo balaa huo gali unauweza mwenyewe aise hapo mimi siuwezi aise


Unapopata salamu kama hizi kuna faraja ndani ya moyo inakujia na kuona kwamba kumbe kuna umuhimu mkubwa tu wakusalimiana..leo Baba Mr Rocky amemkumbuka mtoto wake wa kambo...shikamoo Baba.,


Marahaba mtoto wangu wa kambo BATTO nashukuru sana kama uko salama na nikutakie msimu mwema wa sikukuu na ucheze kwa usalama aise maana kuna miiba na magugu mengi barabarani
 
Last edited by a moderator:
Salamu za kukutakia kheri na fanaka katika msimu huu wa Sikukuu zikufikie lady yoruba from deep down bottom of my Scaled heart! "Dun Isinmi!"
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky nashukur sana salam nimezipokea mikono miwili na kwa roho kunjufu kabisa
 
Last edited by a moderator:

Mkuu MO11 mim sijakuchinjia baharin hata labda samaki hajanasa kwenye mtego wako bado badili plan hamia plan B
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…