Holiday Greetings, Tuma salaam


Asante braza MO11 sikukuu iwe njema na kwako pia ila hiyo list ya vimwana aibu naona mimi
 
Last edited by a moderator:
asante sana rafiki @MrRocky nakutakia kila la kheri pia wewe pamoja na familia yako yote!
 
Jamani nawashukuru wote mnaonisalimia nami pia nawatakia kila lakheri ktk msimu huu Wa Siku kuu!
 
Binamu Mr Rocky nashukuru sana kwa salam, kumbe na wewe umeanzisha SACCOS?!

Kwenye besidei ya mkeo mbona sikukuona, au ulikua umekamatwa na mchepuko wako?

Msimu huu inabidi nimfungie Erickb52 kwenye kichupa, si unajua tena!!!


Karibu huku kwetu kuna ndafu ila kunywa ni kwa kistaarabu
 
Last edited by a moderator:
MO11 asante sana mkuu
Msimu huu usherehekee kwa amani na utulivu na uzingatie kanuni za usalama barabarani ukikuta tuta upunguze mwendo na ukiona barabara safi speed ipungue pia utafiti asante sana mkuu
 
Last edited by a moderator:

Chocs asante sana aise nitakaribia bana mimi nakunywa kistaarabu chupa tano kwa dakika moja hapo si kistaarabu kabisa erick b52 mpe muda kidogo aise aje aione dunia maana amefichwa mno
Saccos yangu ipo aise ila inakopesha wadada tuu

asante sana rafiki @MrRocky nakutakia kila la kheri pia wewe pamoja na familia yako yote!

Blue G asante sana na wewe pia iwe kwako kama ulivyoomba na kutegemea
 
Last edited by a moderator:

Inamana mimi siyo mbebez

umemuona miss neddy
Tu!!!!
 
Last edited by a moderator:
condom zinasaidia hadi wale...wameuona mwaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…