na sisi wananchi kama waathirika namba 1 tutachukua maamuzi gani endapo haki haitatendeka?Ataanza ku-Cort vifungu visivyo na tija ilimradi akwamishe mambo
"@zittokabwe: Taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika."
"@zittokabwe: Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'"
kama nyumba inakarabatiwa kwa mil 480 na bado haijakamilika watakosaje hela ya kuitisha bunge la dharura?Nina wasiwasi bibi kiroboto hataruhusu hoja hii kwa kuwa akiruhusu itabidi kikao cha dharura cha bunge kiitishwe kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa kutokana na serikali kukabiliwa na ukata!
kasema hajiuzulu mtu eti huu ni upepo utapita tu kwa maana nyingine Watanzania ni ***** hatuwezi kufanya lolote.Asante mkuu kwa taarifa nasubiri kwahamu kuona maamuz ya spika pia nahtaji kuona atakalofanya jk coz nimesikia maneno mengi hapa jamvini yakanifanya nianze kumdharau huya mwenye nyumba
"@zittokabwe: Taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika."
"@zittokabwe: Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'"
Mimi Presha ni kwa Bi mkora aka kiroboto.
Haka kabibi katafanya kila liwezekanalo kapindishe utaratibu.
'We know we shall win as we are Confident of the victory '