HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika

Mh!
sasa kama hiyo hoja itakabidhiwa kwa maandishi tena kwa spika, si ataikalia kama alivyofanya kwenye ule ushahidi wa Lema.
 
Bi Kiroboto kaanza na zengwe anataka hoja ya Zitto iletwe kimaandishi.
 
Mh zitto, Mwenyezi Mungu akusimamie na kukupa nguvu ya ziada hadi tupate ushindi wa hatua uliyoichukua. Wana JF tuwaombee wale wabunge wote waliotoa ushirikiano kwa kusaini kwenye karatasi ya zitto Mungu awape upendeleo wa hali ya juu katika shughuli zao. Waheshimiwa wabunge wapiganaji tupo nyuma na mbele yenu kwa maombi.
 
Nina wasiwasi bibi kiroboto hataruhusu hoja hii kwa kuwa akiruhusu itabidi kikao cha dharura cha bunge kiitishwe kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa kutokana na serikali kukabiliwa na ukata!
 
Zitto ni Mbunge wa Kitaifa,ni mwenye uwezo wa kujadili hoja ya taifa na hoja za jimbo
 
Mi nafuatilia hatua moja baada ya nyingine...Ki msingi bi kiroboti! asituletee zengwe, binafsi nimechoka na huu mfumo chakavu unaongonzwa na m.k.w.e.r.e.. ..Keep it up Zitto,,!
 
"@zittokabwe: Taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika."

"@zittokabwe: Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'"

Asante mkuu kwa taarifa nasubiri kwahamu kuona maamuz ya spika pia nahtaji kuona atakalofanya jk coz nimesikia maneno mengi hapa jamvini yakanifanya nianze kumdharau huya mwenye nyumba
 
Nina wasiwasi bibi kiroboto hataruhusu hoja hii kwa kuwa akiruhusu itabidi kikao cha dharura cha bunge kiitishwe kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa kutokana na serikali kukabiliwa na ukata!
kama nyumba inakarabatiwa kwa mil 480 na bado haijakamilika watakosaje hela ya kuitisha bunge la dharura?
 
Asante mkuu kwa taarifa nasubiri kwahamu kuona maamuz ya spika pia nahtaji kuona atakalofanya jk coz nimesikia maneno mengi hapa jamvini yakanifanya nianze kumdharau huya mwenye nyumba
kasema hajiuzulu mtu eti huu ni upepo utapita tu kwa maana nyingine Watanzania ni ***** hatuwezi kufanya lolote.
 
kuna tetesi kwamba hoja ya Zitto itajadiliwa mwezi wa sita kwa hiyo leo Spika atakiri kuipokea ndio utakuwa mwisho muda hautoshi kwani bunge litaahirishwa mchana huu.
 
Zitto pambana, sisi wenyenchi tunawakubali sana, tunataka usawa katika jamii, waziri mkuu ndo anauakiwa aondoke kwanza ndo wengine nao wapuputike.
 
"@zittokabwe: Taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika."

"@zittokabwe: Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'"

Hii hoja itashindwa wabunge wako zaidi ya 300 walioweka saini zao ni 73 tu. Kwa maana hiyo basi wabunge wengi bado Wana Imani na waziri mkuu na hii hoja haitapita.
 
Mimi Presha ni kwa Bi mkora aka kiroboto.

Haka kabibi katafanya kila liwezekanalo kapindishe utaratibu.

'We know we shall win as we are Confident of the victory '

well said.

Hakuna mjadala hoja itatupwa nje ya ulingo wa ndondi
 
Tatizo ni bi Kiroboto, inabidi TUNDU LISSU atangulie kuichambua sheria ya kumbana Spika kabla ZITTO KABWE hajatoa hoja. HAWA WAPAMBANAJI 2 WAKISHIRIKIANA KWA KILA HATUA bi kiroboto atakuwa kwenye wakati mgumu sana mana hajui sheria
 
Back
Top Bottom