Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!

Hatimaye maisha yakaendelea kama kawaida....
Ulikuwa ni upepo tu, ukapita!
Ikawa usiku, ikawa mchana.....
Siku mpya, ndani ya nchi ile ile, watu walewale!
 
Mzee Mwanakijiji,
Kumbuka baadhi ya watuhumiwa wamebakizwa kwenye baraza. Na kama jibu ni ndiyo basi tukubali kwamba tumenunuliwa kwa peremende badala ya kiroba cha sukari.

Well, sasa kama Zitto na wenzake hawatoridhika na mabadiliko haya (nina uhakika sidhani kama kuna mbunge yeyote wa CCM ambaye anaweza kubakia kwenye orodha ya wale sabini) basi anaweza kupush kuwa mabadiliko hayakuwaondoa wahusika wote na hivyo bado hana imanina waziri mkuu! Hii inaweza kuwa nzuri zaidi kwani lazima Spika apange siku sasa kwa ajili ya hilo!
 
ofanya mkulo ni kubadili tu maembe toka kwenye tenga na kuweka kwenye gunia
 
Itakuwa ngumu sana ku move forward sababu regardless ya kuachieve madai ya Zitto, nadhani sasa #uwajibikaji umepoteza momentum. Kama ni upepo umepita kweli.
 
Mkuu! mimi nimeshachoka na huyu mkuu na serikali yake na sitaki kuumwa na kichwa tena i will sit and watch till he is gone maana jamaa uwezo wake ni mdogo mno na i have to be honest that i really do think i could make a best president compared to this honorable. I just do not understand him at all, Aaarghh what a frustrating creature.:wacko:
the selcetd ministers are the only capable people in CCM for now, where do u think JK would have picked the best ministers if everyone in CCm is rotten? That is the only cream kikwete was able to spot! Lets cheer for hims because he is preparing a political death to his mighty party CCM...
 
Magwanda tumeshawazoea katika hili mmechemka kama hamuamini fanyeni mfanyalo ikiwezekana ata maandamano muone mtakavyodharauliwa watu tumewachoka mnafanya nchi isitawalike kwa uroho wenu wa madaraka nyie mmekuwa watu wa kupiga makelele kama vyura mabondeni usiku,tafadhari tunaomba muache viongozi wateule wa serikali wafanye kazi bila kuwabughudhi endapo kutatokea kutokuwajibika ipasavyo ndiyo mseme lakini si kila jambo linapofanyika nyie mnalalama tu ata likiwa zuri nyie mnapinga tu jamani tuache unafiki wa kisiasa pembeni, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni penye mazuri msione haya kusifia na penye mabaya mkosoe kwa maana ya kujenga taifa letu wala si kubomoa!
 
Watuhumiwa kwenye ripoti za CAG na zile za Kamati za Bunge sio mawaziri tuu. In fact mawaziri wamekuwa responsible politically. Wako wakurugenzi, makatibu wakuu na watumishi wengine wa ngazi za juu. Kwa hiyo, kama Rais atabadilisha mawaziri tuu bila kuwachukulia hatua hao walio chini ya hao mawaziri ni kama vile hajafanya kitu. Kwa hiyo hoja bado ni ya msingi unless walio chini ya mawaziri watachukuliwa hatua pia. Kumbuka kwenye ripoti ya kamati yake Augustino Mrema alisema halmashauri zote zimeoza.

Hii kazi ya kufanya usafi ni kubwa zaidi ya tunavyofikiria!
 
Suala la kumuwajibisha PM ni suala kubwa na linahitaji hata ushiriki wa wabunge kutoka CCM, kwa mabadiliko haya sidhani kama wabunge wa CCM wataikubali ile hoja.
Morinyo.....................kumbuka suala hapa siyo wabunge wa ccm wanafikiri nini bali sisi tunataka nini............wakimtetea JK n aPinda wake kwenye huu upuuzi wao basi 2015 hili suala litakuwa a big campaign issue................
 
Last edited by a moderator:
hoja ibadilishwe iwe ya kumng'oa jk sio pinda
OSOKONI..........tatizo la kumlenga Jk zile sahihi 70 hazitapatikana kwa sababu cuf, ccm na sasa nccr wtakataa kuiunga mkono........................cuf kwa sababu JK ni muislamu....................ccm kwa sababu ni boss wao...........na nccr mageuzi kwa sababu JK amekuwa akiwabebeba sana kama uteuzi wa mbatia bungeni na Dr. Mvungi kwenye tume ya marekebisho ya katiba..................kwa siasa zetu hizi babaishi hilo litakuwa ni sawasawa na kutwangwa maji kwenye kinu......tuanze na Pinda khalafu JK atamfuata baadaye...........
 
Last edited by a moderator:
Tunasubiri Zito atasema nini... Kama akiondoa hoja ile itakuwa proof kwa Zito kutumiwa na CCM au lengo lake lilikuwa Mkulo atoke.


Dogo Zitto alitaka kumuonyesha Mkulo kwamba yeye ndo mkulu mwenyewe na Mkulo ni feki. Bigup Zitto kwa kuwaondoa hawa shwain.
 
Kwa ujumla hapo hamna cha msingi alichokifanya. Tusubiri tuone
 
Magwanda tumeshawazoea katika hili mmechemka kama hamuamini fanyeni mfanyalo ikiwezekana ata maandamano muone mtakavyodharauliwa watu tumewachoka mnafanya nchi isitawalike kwa uroho wenu wa madaraka nyie mmekuwa watu wa kupiga makelele kama vyura mabondeni usiku,tafadhari tunaomba muache viongozi wateule wa serikali wafanye kazi bila kuwabughudhi endapo kutatokea kutokuwajibika ipasavyo ndiyo mseme lakini si kila jambo linapofanyika nyie mnalalama tu ata likiwa zuri nyie mnapinga tu jamani tuache unafiki wa kisiasa pembeni, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni penye mazuri msione haya kusifia na penye mabaya mkosoe kwa maana ya kujenga taifa letu wala si kubomoa!


panadol.........mawazo yako ni bomu sana.............pangua hizi khoja kwanza kabla ya kuja na utetezi wa ujumla wa kumtetea fisadi JK
 
Last edited by a moderator:
the selcetd ministers are the only capable people in CCM for now, where do u think JK would have picked the best ministers if everyone in CCm is rotten? That is the only cream kikwete was able to spot! Lets cheer for hims because he is preparing a political death to his mighty party CCM...

Mtego wa Noti ndani ya ccm wapo wengi wazuri lakini hawapendi kujipendekeza kwa hawa waporaji.............
 
Last edited by a moderator:
Baba mwenye nyumba yetu kashindwa kuongoza familia wala sio mkali watoto wanafanya wanavyotaka eti nitawachapa huku hata kufinya hajawai
 
[h=2]
icon1.png
[/h]
quote_icon.png
By Mzee Mwanakijiji
Mna muonea rais jamani... mwacheni amalize ngwe yake
unazeeka vibaya mzee...

Mzee Mwanakijiji wakati mwingine huwa anachemsha siyo kidogo...............inabidi afafanue tunamwonea kivipi?.....kiongozi bomu ni bomu tu...............Lukansola
 
Last edited by a moderator:
Ruta itakuwa heri kwao kama ni kelele za kumtoa nyoka pangoni lakini ikiwa vinginevyo hali itakuwa si shwari kwa chama tawala....ccm inajua kuuma na kupuliza.Tusubiri tuone kama nini tena inaitwa??? oops! takukuru wato'e majibu vinginevyo ccm itabeba dhambi kubwa.....rejea kwenye post za mwanzo wananchi wana hasira kali na hawa watu.. hahahahha Tanzania Nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana. I love my country for real!

Pakawa kazi tuliyonayo ni kusimamia kura comes 2015...tuachane na huu upuuzi wa watu kula hadi sasa wanatutapikia miguuni ....lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom