Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!

Hukumuelewa kabisa alisema mawaziri wenye kashfa wasipowajibika wao kama wabunge(not only ZK) watamuajibisha waziri mkuu. Wameshaondolewa kwenye wizara kwa itabidi ashauriane na wenzake cha kufanya kama ni kuiendeleza au kuiacha.

Morinyo kwa kuwa Mkuchika, nyalandu, maghembe, Malima, Chiza n.k wamelindwa sasa kunakushauriana hapo au kupambana na khoja iendelee tu?
 
Last edited by a moderator:
Watuhumiwa kwenye ripoti za CAG na zile za Kamati za Bunge sio mawaziri tuu. In fact mawaziri wamekuwa responsible politically. Wako wakurugenzi, makatibu wakuu na watumishi wengine wa ngazi za juu. Kwa hiyo, kama Rais atabadilisha mawaziri tuu bila kuwachukulia hatua hao walio chini ya hao mawaziri ni kama vile hajafanya kitu. Kwa hiyo hoja bado ni ya msingi unless walio chini ya mawaziri watachukuliwa hatua pia. Kumbuka kwenye ripoti ya kamati yake Augustino Mrema alisema halmashauri zote zimeoza.

Well said! Lakini inashangaza JK anasema tofauti na anachokifanya. E.g. amemuacha Chami akampa unaibu waziri Nyalandu. Hivi kama nikuwajibika si wote wawili wako responsible na yale madudu ya CAG? Naona hapa amefanya maamuzi kisiasa zaidi-hakuwa na dhamira kamili yakusafisha cabinet.

Wizi uko kwenye halmashauri zetu...wakurugenzi kule ni kama miungu watu.
 
Unstoppable.............you are really unstoppable.................waache kutetea uozo serikalini ambao kiranja mkuu ni jk followed by pinda..........
 
Last edited by a moderator:
aisee mi sioni pinda anakosa gani...Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho sasa ka rais hataki kuwatimua baadhi ya mabeste, ye pinda afanyeje...na hawezi kujiuzulu wewee....unafikiri anataka awe anakaa kwenye foleni ya magari kama sisi!!
 
Kikwete kasema waziri akiwajibishwa kwa uzembe wa watu walio chini yake basi hata wale walio chini yake watawajibishwa pia. kasema eti watu wa chini wanawaundia zengwe mawaziri ili wang'oke kisha wanasema mlitukuta hapa mtatuacha hapa hapa.
Sasa kama Ngereja amemwagwa kwanini Malima aachwe? hivyo hivyo kwa mwanri.
 
Wizi uko kwenye halmashauri zetu...wakurugenzi kule ni kama miungu watu.

Ndahani, matatizo ya umungu mtu ndani ya halmashauri zetu ni matatizo ya kimfumo na haya mazingaombwe ya JK kamwe hayawezi kurudisha taasisi hii nyeti mikononi mwa raia........................tatizo linaanza pale NEC inawateua hawa vibosile kuwa wasimamizi wa kura za majimbo na hivyo kuwafanya wabunge na mawaziri kuwategemea kuwanyonga wapinzani kwa aidha kuwaondoa majina yao au kutangaza matokeo batili...................na wasipofanya hivyo huteremshwa vyeo au hata kufutwa kazi.............baada ya uchaguzi mbunge au waziri aliyepita kwa rushwa na dhuluma hujikuta ana deni kubwa la kulilipa kwa mkurugenzi wa halmashauri na akisikia amevuruga mahali hana jinsi ila kumtetea tu.......................na ndiyo maana marekebisho haya ya JK ambayo yanawaogopa akina Mkuchika na Mwanri hayawezi kufika kule kwenye halmashauri ambazo hata JK ana deni kubwa la uraisi waliompa ushindi wa mezani..........
 
me nimechoka na siasa za kitanzania ,bcz sioni kuwa viongz wanatetea nchi ,,yaan nikisia huwa napata headech ,, feduppppp. huku kwetu zanzibar tumechoka na muungano ,tanganyika nako tafraan time ,yarabbii,
 
Ngeleja alisema "This too shall pass" JK akamuitikia "Huu ni upepo tu".

Weel; Kiranga, they will soon learn Tz has changed for the better..............
 
Last edited by a moderator:
Kikwete kasema waziri akiwajibishwa kwa uzembe wa watu walio chini yake basi hata wale walio chini yake watawajibishwa pia. kasema eti watu wa chini wanawaundia zengwe mawaziri ili wang'oke kisha wanasema mlitukuta hapa mtatuacha hapa hapa.
Sasa kama Ngereja amemwagwa kwanini Malima aachwe? hivyo hivyo kwa mwanri.

dubu uko kwenye mstari...........jk ni msanii sijui kwa nini hakujiunga na tasnia ya kuigiza
 
Last edited by a moderator:
Jamani ****** hakuwa na option nyingine zaidi ya ile.watu wote alionao ni full majambakuzi hivyo hao ndiyo kidogo angalau. Kama tu alivyosema mwenyewe amefanya kile alichoweza hayo mengine tusubiri wengine next election 2015 watakao chukuwa nchi!!
 
me nimechoka na siasa za kitanzania ,bcz sioni kuwa viongz wanatetea nchi ,,yaan nikisia huwa napata headech ,, feduppppp. huku kwetu zanzibar tumechoka na muungano ,tanganyika nako tafraan time ,yarabbii,

wahida, hawa majasusi hawamwogopi Mwenyezi Mungu hata chembe...................
 
Last edited by a moderator:
Jamani ****** hakuwa na option nyingine zaidi ya ile.watu wote alionao ni full majambakuzi hivyo hao ndiyo kidogo angalau. Kama tu alivyosema mwenyewe amefanya kile alichoweza hayo mengine tusubiri wengine next election 2015 watakao chukuwa nchi!!

Kipis kama ccm wataendelea kutesa mwaka 2015 usitegemee jipya hata chembe yake kabisa kwani hakuna........
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona ni usanii kama si kulindana kwanini wengine wawajibishwe na wengine waachwe? Mimi naona mheshimiwa anapenda chama chake kigawanyike vipande maana naona akina Ngeleja na wenzake lazima watatengeneza kundi jingine au kuungana na kundi la Lowasa na kuimarisha ufa zaidi

Lakini kuhusu hoja ya Zito kama imefanyiwa usanii je wenzangu mwasemaje kwa mujibu wa sheria za bunge? Baada ya maamuzi ya raisi akionesha kukerwa baada ya jamaa zake kuondoka na kusema kuwa lazima awawajibishe waliohusika je itawezekana? Kama ikiwezekana je tusemeje? Kulipa kisasi kwa kusababisha marafiki zake kuondoka? Maana wakurugenzi wengi wamelalamikiwa lakini aliweka pamba masikioni je akiwashughulikia wezi je ataweza kuendeleza haya? Kama baadhi ya wakurugenzi wametuhumiwa na wanaendelea na kazi je kwa vile jamaa zake hawakuguswa ndo maana alikuwa hasikii kilio cha mchwa wa halmashauri zetu? Je kama akiwafikisha wezi mahakamani je kweli watahukumiwa? Kama mtindo ndo huu mimi siamini kama kuna uwezekano wa wezi kuhukumiwa kwani wengine wameachwa katika system! Je watakao fikishwa mahakamani na kuhukumiwa naomba niwape moyo na kuwambia mbele ya umma wa chama tawala urafiki kuulinda ni bora kuliko kulinda mali ya umma na hivyo wategemee kuwa na wenzao waliowatosa wako njiani kuwakuta huko waliko magerezani kama si leo ni kesho na dhuluma haina uwezo wa kudumu milele kama idumiyo haki
 
Kuna mtu alisema JK ana mgao ktk hayo mafungu yaliyoibiwa no wonder kuna watu kawaretain ili waendelee kumletea mafungu

Njowepo hakuna ubishi kwenye hilo.......huyu bwana ni mlaji mzuri sana na ndiyo maana anasubiri mashinikizo kuchukua hatua..........
 
Last edited by a moderator:
yaan hawajui kuwa wanaishi kupitia migongo ya watu, ,uk wamefanya uchaguzi wa majimbo yaan s uchaguz mkuu ila cnservative wmaeona faida ya sera zao za kuwatoa wageni zimewaweka wapi? wamelose ile mbaya, but tz viongz hawak tayar kuleta changes,,
 
Back
Top Bottom