Wasilisho lako limekosa mashiko kwa kuwa umelileta kwa namna ambayo wewe unataka upate maoni yanayofanana na unavyofikiri wewe? Kama huwezi kuona athari zinazotokana na matumizi ya vyombo vya dola kudhibiti taasisi zingine ambazo zinapaswa kuwa huru ili zitekeleze wajibu wake kulingana na matakwa ya kikatiba, basi endelea kufurahia utawala huu utakuwa unakufaa sana!Kutumia kwake vyombo vya dola kumekuathiri vipi wewe kimaisha? Umelala njaa? Umeshindwa kupeleka watoto shule? Kuvaa kwake sare za jeshi ndio kumefanya wewe usiwe na pesa mfukoni? Tuambie kinaga ubaga ndugu yetu, umeathirika vipi?