Hoja nzito: Tuwe wawazi na tufunguke

Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
3,257
Likes
3,391
Points
280
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2012
3,257 3,391 280
Tumemaliza mwaka mmoja sasa tangu Rais Magufuli aapishwe na kuwa Rais wa tano wa nchi yetu Tanzania. Tokea Rais Magufuli aingie madarakani, amekuwa akichukua hatua mbali mbali za kusafisha nchi kwa kutumia mtindo alioupachika jina la "kutumbua majipu".

Wote tumeshuhudia Rais akichukua maamuzi "magumu" na bila uwoga wala kupepesa macho amefanya mambo ambayo watangulizi wake hawakuthubutu kufanya ama hata hawakuota kufanya hivyo. Mambo yote aliyoyafanya Rais Magufuli wote tunayafahamu na sina haja ya kuyarudia kuandika hapa sababu nitajaza tu page bila sababu. Sasa twende kwenye hoja yenyewe.

Kumekuwa na malalamiko mengi sana, hasa kwenye vyombo vya habari, hasa vile ambavyo vinamilikiwa na watu ambao naweza kusema wako "mlengo wa kushoto" na pia kwenye mitandao ya kijamii hasa humu JF, kuwa Rais Magufuli amelitumbukiza taifa kwenye "ukata" mkubwa sana wa fedha. Malalamiko mengi ni kuwa eti, Wananchi hawana pesa mifukoni, biashara zinashindwa kujiendesha, mabenki yanafilisika, watu wanafukuzwa kazi, mzunguko wa pesa umekuwa mdogo na mengine mengi.

Nafikiri umefika wakati sasa kila mmoja aliyemo humu JF "afunguke" bila woga na atueleze ni jinsi gani na kwa namna gani ameathirika moja kwa moja na maamuzi yaliyokwisha chukuliwa na Rais Magufuli. Nataka tufunguke na kila mtu anayelalamika humu JF aseme namna alivyoguswa na Mheshimiwa Rais, kiasi kwamba sasa anaona "maisha ni machungu". Tusilalamike kijumla jumla tu, kila mmoja, "as an individual" aseme kilichomsibu kama ni kutumbuliwa yeye au kama ni kutumbuliwa mtu aliyekuwa anamtegemea. Na sio lazima iwe kutumbuliwa, labda kuna kodi fulani imekuwa mzigo kwako, labda biashara imeyumba, tuwe wawazi ili tujue kama ni kweli malalamiko ya watu ni "genuine".

Binafsi naweza kusema mimi sijaathirika na hatua zote zote alizochukua Rais na maamuzi yake hayajanigusa kwa namna yoyote ile. Nathubutu kusema kuwa maisha yangu hayana tofauti kabla na baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani. Zaidi sana naona kama bidhaa zimeshuka bei na upatikanaji wa vyakula, viwanja vya kujenga nyumba, na huduma zimeboreka zaidi.

Naomba sasa kila mmoja aseme yake ya moyoni na tujadili bila matusi, wala kashfa.
 
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
3,257
Likes
3,391
Points
280
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2012
3,257 3,391 280
Magereza zinatosha?
Kivipi mkuu, wewe swala la Magereza limekuathiri kwa namna gani? Andika kinachofanya useme maisha ni magumu.
 
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
3,257
Likes
3,391
Points
280
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2012
3,257 3,391 280
Mbona kila kitu kiko wazi.
Unaweza kuuliza anakopatikana mdhungu ukiwa Uingereza?
Usiongee kijumla jumla, sema wewe kama wewe umeathirikaje na utendaji kazi wa Rais Magufuli, usiwasemee wengine, kila kitu kiko wazi, kiko wazi kivipi, fafanua hoja kwa hoja.
 
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
3,257
Likes
3,391
Points
280
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2012
3,257 3,391 280
Mbona mnalazimisha JF ifungwe, tutatolea wapi stress na kupata burudani?
Ifungwe na nani na kwanini ifungwe? Wewe funguka ukweli wako na JF haiwezi kufungwa hata siku moja. Acha uwoga, hakuna anayekujua humu ndani. Tuambie, utendaji wa Rais umekuathiri vipi wewe kama wewe?
 
DAFU NA NDIMU

DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
2,732
Likes
3,458
Points
280
DAFU NA NDIMU

DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
2,732 3,458 280
Usiongee kijumla jumla, sema wewe kama wewe umeathirikaje na utendaji kazi wa Rais Magufuli, usiwasemee wengine, kila kitu kiko wazi, kiko wazi kivipi, fafanua hoja kwa hoja.
Kupungua kwa mbs za kubishania kwenye mitandao
 
Mwanga Lutila

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
2,864
Likes
7,086
Points
280
Mwanga Lutila

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
2,864 7,086 280
Nathubutu kusema kuwa maisha yangu hayana tofauti kabla na baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani. Zaidi sana naona kama bidhaa zimeshuka bei na upatikanaji wa vyakula, viwanja vya kujenga nyumba, na huduma zimeboreka zaidi.

Ni hapa hapa Tanzania au wewe huko nje ya Tanzania?
 
Wamweru

Wamweru

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
301
Likes
160
Points
60
Wamweru

Wamweru

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
301 160 60
Tumemaliza mwaka mmoja sasa tangu Rais Magufuli aapishwe na kuwa Rais wa tano wa nchi yetu Tanzania. Tokea Rais Magufuli aingie madarakani, amekuwa akichukua hatua mbali mbali za kusafisha nchi kwa kutumia mtindo alioupachika jina la "kutumbua majipu".

Wote tumeshuhudia Rais akichukua maamuzi "magumu" na bila uwoga wala kupepesa macho amefanya mambo ambayo watangulizi wake hawakuthubutu kufanya ama hata hawakuota kufanya hivyo. Mambo yote aliyoyafanya Rais Magufuli wote tunayafahamu na sina haja ya kuyarudia kuandika hapa sababu nitajaza tu page bila sababu. Sasa twende kwenye hoja yenyewe.

Kumekuwa na malalamiko mengi sana, hasa kwenye vyombo vya habari, hasa vile ambavyo vinamilikiwa na watu ambao naweza kusema wako "mlengo wa kushoto" na pia kwenye mitandao ya kijamii hasa humu JF, kuwa Rais Magufuli amelitumbukiza taifa kwenye "ukata" mkubwa sana wa fedha. Malalamiko mengi ni kuwa eti, Wananchi hawana pesa mifukoni, biashara zinashindwa kujiendesha, mabenki yanafilisika, watu wanafukuzwa kazi, mzunguko wa pesa umekuwa mdogo na mengine mengi.

Nafikiri umefika wakati sasa kila mmoja aliyemo humu JF "afunguke" bila woga na atueleze ni jinsi gani na kwa namna gani ameathirika moja kwa moja na maamuzi yaliyokwisha chukuliwa na Rais Magufuli. Nataka tufunguke na kila mtu anayelalamika humu JF aseme namna alivyoguswa na Mheshimiwa Rais, kiasi kwamba sasa anaona "maisha ni machungu". Tusilalamike kijumla jumla tu, kila mmoja, "as an individual" aseme kilichomsibu kama ni kutumbuliwa yeye au kama ni kutumbuliwa mtu aliyekuwa anamtegemea. Na sio lazima iwe kutumbuliwa, labda kuna kodi fulani imekuwa mzigo kwako, labda biashara imeyumba, tuwe wawazi ili tujue kama ni kweli malalamiko ya watu ni "genuine".

Binafsi naweza kusema mimi sijaathirika na hatua zote zote alizochukua Rais na maamuzi yake hayajanigusa kwa namna yoyote ile. Nathubutu kusema kuwa maisha yangu hayana tofauti kabla na baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani. Zaidi sana naona kama bidhaa zimeshuka bei na upatikanaji wa vyakula, viwanja vya kujenga nyumba, na huduma zimeboreka zaidi.

Naomba sasa kila mmoja aseme yake ya moyoni na tujadili bila matusi, wala kashfa.
Ki ukweli umeongea vizuri sana na mimi binafsi sijaathirika na kitu chochote zaidi ya kuona dawa zimepungua bei, viwanja vimepungua bei na nikienda katika hosptali na office za serikali napata huduma kwa urahisi zaidi ya zamani
 
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
6,286
Likes
5,404
Points
280
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
6,286 5,404 280
Rais mwoga, anatumia vibaya vyombo vya dola, pia anapenda sana kuvaa sare za jeshi wakati yeye hana kadi ya JWTZ. cheo cha amiri jeshi mkuu ni cha heshima tuu na siyo yeye was kwanza kuitwa amiri jeshi mkuu.
 
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
3,257
Likes
3,391
Points
280
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2012
3,257 3,391 280
Eti hoja nzito.........

Hoja thaifu kabisa ya mwaka......
Mkuu kama umetumbuliwa tueleze ili tujue ni kweli Rais amekugusa. Andika hoja, acha kutoka povu!
 
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
3,257
Likes
3,391
Points
280
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2012
3,257 3,391 280
Rais mwoga, anatumia vibaya vyombo vya dola, pia anapenda sana kuvaa sare za jeshi wakati yeye hana kadi ya JWTZ. cheo cha amiri jeshi mkuu ni cha heshima tuu na siyo yeye was kwanza kuitwa amiri jeshi mkuu.
Kutumia kwake vyombo vya dola kumekuathiri vipi wewe kimaisha? Umelala njaa? Umeshindwa kupeleka watoto shule? Kuvaa kwake sare za jeshi ndio kumefanya wewe usiwe na pesa mfukoni? Tuambie kinaga ubaga ndugu yetu, umeathirika vipi?
 
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
3,257
Likes
3,391
Points
280
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2012
3,257 3,391 280
Kamwe maisha wa mtanzania hayatainuka chini ya chama katili CCM

Hakuna unafuu wowote, siasa siasa tu
Unataka kutuambia kwamba tatizo lako wewe ni chama na sio utendaji wa Rais? Kama tatizo ni ccm, hicho chama kimeathiri vipi maisha yako wewe kama wewe sasa hivi, sababu chama hicho hicho ndio kilikuwa madarakani miaka yote iliyopita. Tuambie wewe binafsi, utendaji wa Rais Magufuli umeakuathiri vipi? Usiwaongelee watu wengine.
 
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
3,257
Likes
3,391
Points
280
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2012
3,257 3,391 280
Ni hapa hapa Tanzania au wewe huko nje ya Tanzania?
Hapa hapa Tanzania mkuu, ndio maana nikasema tusilalamike tu kijumla jumla, kila mmoja wetu na aseme ameathirika vipi na utendaji kazi na maamuzi ya Rais Magufuli.
 
Forum statistics

Threads 1,274,155
Members 490,601
Posts 30,502,958