LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,113
- 27,099
An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology.
Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa..
Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa msingi " basic" kuhusu saikoloji ya binadamu wewe siku moja pita mtaani wakute watu halafu wapite bila kuwasilimia halafu Muda mfupi baadae rejea Kwa watu Hao Hao halafu jifanye kama unawauliza Jambo..
Utashangaa kuona mtu mzima Na ndefu zake anakwambia " YANI WEWE UMETUPITA HAPA BILA KUTUSALIMIA HALAFU SASA HIVI UNAKUJA KUTUULIZIA"
Hee!!! Mtu anae SEMA hivi ana kichwa kidogo Sana Na ufahamu wake kuhusu saikoloji ya binadamu ni sifuri..
Hivi unashindwa kuelewa kwamba Kuna watu Wana vitu vingi kichwani kiasi kwamba husahau hata kama wanatembea barabarani seuze kukusalimia wewe?
Halafu unataka mtu akusalimie wewe ili kusudi iwe Nini?
Yani unataka mtu atembee barabarani anasalimia Kila MTU kwanini yeye amekuwa Rastafari , mwendawazimu au tapeli?
Watanzania acheni uwendawazimu.
Back to Haji Manara.
Kuna wapuuzi wachache Wana amini eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba simply Kwa Sababu wamemfahamu kama shabiki wa Simba Kwa Muda mrefu Na kwamba huko alipo Simba wakifungwa Na yeye anaumia!!
Hivi nyie watu hamjui kuhusu human phsycology ?
Ngoja Ni WA refresh mind zenu. Ni hivi binadamu akiwa anafanya Jambo lake katika Maisha level ya juu kuliko zote Ni kupata kitu kinaitwa Recognition.
Haji amepata mafanikio makubwa Sana akiwa Na Simba. Alichokuwa ana kitaka Ni " Recognition" kwamba wanasimba watambue mchango wake kwenye klabu ya Simba Na kwamba bila yeye Simba haiwezi kupata mafanikio..
Simba ikifungwa Haji anafurahi Sana Kwa Sababu Jambo Hilo Lina prove hoja yake kwamba bila yeye Simba si lolote si chochote..
Simba ikishinda Haji lazima aumie Kwa Sababu hiyo itaamanisha kwamba yeye Hakuwa lolote ndani ya Simba Na kwamba Simba wanaweza kupata mafanikio with or without him..
Mtu ukishafikia level hii ya kufurahi timu fulani inapofungwa Na kuumia pale timu hiyo inaposhinda maana yake ni kwamba MTU huyo sio shabiki Tena wa timu hiyo.
# proudly sponsored by Fiston Kalala Mayele