Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada we ni kabila gani kwani?

Maana umekuja gunz blazing!

Kabila langu ni mtanzania mfuata maadili.
Mimi sijui tofauti za wanawake katika kujamihiana kwa vile kama na mpenzi au na mke basi ni huyo ninayojua na ndivyo ninavyofahamu kuwa wanawake wote wako hivyo.
 
Mkuu Candid Scope ni kweli maelezo yako kuhusu mapenzi, mapenzi ya kweli yana heshima yake na ndilo nionalo kwa wasichana wa Kichaga!!!!!!!!! Wachaga hawajipeleki faaa, ua kujirahisisha mara nyingi ingawa si wote wanaangalia mtu aliye serious kwenye huo uhusiano wa mapenzi!!! Ni wakarimu lakini wanajijali wanajiheshimu sio limbukeni wanachagua ni makini, coz uhusiano wa mapenzi matokeo yake sahihi ni kuoana sikufanya umalaya kulalana ovyo!!!!! Tabia hizo za wasichana Wakichaga zinawapatia wanaume waliotayali kuoa na si vinginevyo!!!!!!!!


Acheni uongo nyie. Wachaga wanagawa kama biskuti za jeshi. Ukiwa na pesa tu hakuna mchaga atakayekukataa. Nakumbuka hata nilivyokuwa JKT. Wasichana wa kichaga walikuwa wanaongoza kwa kuliwa na ma koplo.
 
mabinti wa kichaga ni very cheap, ukiwataka tu wanakubali mbaya zaidi hawajui sex, yaani ni zero kabisa, nimekuwa nao watatu wote hakuna aliyenifaa. ila kwa kupenda pesa hao ni noma
 
Acheni uongo nyie. Wachaga wanagawa kama biskuti za jeshi. Ukiwa na pesa tu hakuna mchaga atakayekukataa. Nakumbuka hata nilivyokuwa JKT. Wasichana wa kichaga walikuwa wanaongoza kwa kuliwa na ma koplo.

Duh, kauli yako inatisha, una maana wachaga ni manju kwa madanguro? Sijasikia bado kuhusu hili tangu uzi huu uanzishwe. Hakuna dogo hapa.
 
Kuna asili ya makabila mbalimbali nchini Tanzania. Kila kabila lina mila na desturi zake na kila kabila katika mila na desturi zake ni ukamilifu katika hulka ya maisha yao ingwa katika baadhi ya mambo yao yanaweza kuonekana si kitu cha kawaida kwa makabila mengine. Naleta mifano michache hapa chini kama ifuatavyo.
  • Kuna simulizi ambazo zinasema kabila fulani (jina kapuni) kando ya ziwa Tanganyika kijana akifunga ndo basi baba mkwe na awe wa kwanza kumwona ndani bibi arusi na bwana arusi ale makombo ya baba yake, ni simulizi lakini sina uhakika, kwa makabila mengine ni laana na mwiko kufanya hivyo lakini kwao ni utamaduni wao.
  • Simulizi nyingine Wasukuma wanapolima enzi hizo walikuwa na manju ambaye wengine wanapolima yeye anacheza mbele yao kwa miondoka ya ngoma na nyimbo mbalimbali kuwahamasisha wengine kufanya bidii. Makabila mengine wataona kama angeshika jembe na yeye mraba ungeongezeka zaidi.
  • Kuna kabila fulani mashariki ya Ziwa Victoria kwamba mwanamke asipopigwa na mumewe ni dalili kwamba hana mapenzi na mkewe. Tabia hizi kwa wengine wanaweza zichuulia kama udhalilishaji na wanawake wamekubali kudhalilishwa kijinsia.
  • Wasomali ukishikwa ugoni iwe kwa mwanamke au mwanaume maana yake kupigwa kwa mawe hadi mauti unayaona yakikuchukua, kwa mtazamo wao wanaosema wasichana wa kichaga hawajui kufanya ufuska maana yake wanajichongea kwamba ni wafanya ngono kwa vile wanatembea na wanawake wengi na hivyo kujua tofauti zao katika kujamihiana na hivyo kwa utaratibu wa Somalia wangefaidika kwa zawadi ya kupigwa mawe hadi kwenda ahera bila ridhaa yao.
Kuna mifano mingi lakini cha msingi heshima ya mtu, utamaduni wa mtu, staha ya mtu, kujiheshimu kwa mtu ndivyo vinavyomjengea utu na heshima yake. Tukianza kuchambua mambo ya watu na asili zao patachimbika, na kuna ya kudhalilisha na kusikitisha kuliko yanayoongelewa kuhusu hawa akina dada wa kichaga. Niseme tu wenye tabia za ufuska ndio wenye kuliona hili kwa vile wamezoea kwa wanaofanya ufuska wanafikiri kila msichana afanye yafanywayo na wafanya ufuska.
 
Kinacho nisikitisha sana ni kwamba wadada wengi walisha kubali kuitwa
"MADEMU",.....thubutu kumuita mchumba wangu hivo afu tuko wote uone.

Mwanzoni nlikua najitahidi sana kuwaambia watu aache kutumia maneno ya ajabu ajabu ila baada ya kuona hata wadada nao wanatumia nimeamua kutulia, alimradi tu nisije nikaitwa mimi personally.

Kuna tofauti gani hapo na wanawake wengine kumlaumu mwanamke mwenzao kwa kubakwa kwa kuwa alijitakia mwenyewe?
 
Hamna. . . wengine wanaona sawa, wengine hatuoni sawa.

Haya mtajiju wenyewe na mtaendelea kuwa nyuma na kunyanyaswa na kudhalilishwa na kuuliwa kwenye ma "honor killings" kwa sababu nyi wenyewe hamjijui wala kujitambua! Na ndo hapo hasa hoja yangu ilipo.

Hata muwezeshwe hamjiwezi.
 
Haya mtajiju wenyewe na mtaendelea kuwa nyuma na kunyanyaswa na kudhalilishwa na kuuliwa kwenye ma "honor killings" kwa sababu nyi wenyewe hamjijui wala kujitambua! Na ndo hapo hasa hoja yangu ilipo.

Hata muwezeshwe hamjiwezi.

Loh. . .
Haya bana!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom