Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

Status
Not open for further replies.
Mambo hayo ya makabila ni loooong time ago wakati hakuna connectivity na cultural infusion ndo waweza sema kabila flani hiv na flani vile with inter-marriage inayoendelea....kushikilia mawazo hayo ni kuwa na mawazo mgando tuuuu.

As a matter of fact kama umegundua wazuri wa sura na mapenzi zero.....then equation si imekwisha au......you just apply elimination method kupata unachotaka kama sura nenda moshi na kama mapenzi nenda huko unakokujua yapo

Na kama suala ni kuoa kabila then sura na mapenzi yanajiishia yenyewe naturally

My take...mapenzi ni fani kama kucheza ngoma vile with mafunzo maalum (kufundwa) hata tribeless (kama yupo) atakuwa mtaalamu tuu. So sio suala la kabila hapo

Muwaache Manka ma Kekuu wa watu washughulikie huko mikomba yao tupate ndisii...................
 
Uchangudoa=biashara ya TENDO LA NDOA (kiungo muhimu cha mapenzi)

Nini tofauti ya:
mapenzi, uchangudoa na uasherati? Wanaofanya matendo ya ndoa kwa malengo ya kuridhia msukumo wa miili yao tu na muda wa tendo kuridhia kila mmoja na njia yake, nini amani ya moyoni wanayopata? NIni matunda ya tendo lao la kujamihiana? Wanakuwa mwili mmoja kwa dakika kisha wanatengana na kuachana kila mmoja na njia yake aelekeako, na pengine mwingine anaendelea kutafuta mwingine tena wa kufanya kile kile alichokuwa anafanya, je kilichowaunganisha kwa dakika chache ni mapenzi au utumwa wa kuutumikia udhaivu wa mwili? Na udhaifu wa mwili hutokea kwa kuuendekeza, usipouendekeza huwezi kuutumikisha kwa kiwango hicho kwa vile utakuwa na ile kitu muhimu self control inayotokana na utashi wako wenye kulinda heshima yako.
 
Asante Candid kwa kuona upande chanya wa suala hili. Nimepata ahueni kuona kwamba kuna watu wanaowafikiria wadada wa kichagga kwa "angle" tofauti kuliko inayoaminika na wengi katika jamii tunayoishi sasa. Vijana wa siku hizi wameweka ngono mbele bilaa kujali utu wa mwingine. Unam-judge mtu kutokana na uwezo wake kitandani badala ya lile alilonalo moyoni. Na hii inatokana na kuendekeza mapenzi yasiyo ya kweli, kupimiana vifua na uwezo. kipimo kikuu kimekuwa ni jinsi gani mwanamke anaweza kuzungusha kiuno na kubiringika kitandani kwa staili zote akiwa na mwaanaume na hii si haki kabisaa. Siongelei waachaga tu peke yaake bali wanawake in general.heshima imeenda waapi? Yule aaliyetoa uzi kuhusu wanawake wa kichaga siku nikikutana naye lazima nimpige kofi moja tu wala si mawili moja kuweka sense katika akili yake. Lakini sidhani kama nitakutana naye. Uliyosema Candid ni kweli tupu labda itabadilisha mitazamo hasi ambayo jamii ya kitanzania hususan asilimia fulani ya jinsia ya kiume.
 
Lazima wawe waaminifu kwa sababu wengi ni wabaya wa shape ila sura wanajitahidi. Wanaume wa kiafrika mara nyingi tunapenda wanawake wenye ass zilizojaaliwa na miguu ya chupa za pia za kibongo. Sio utani mademu wengi wa Kichagga wamejaa juu, chini wembamba, miguu kama spoke za baiskeli. Hasa wamachame ndia acha kabisa, utadhani wanafanya mazoezi ya kunua vitu vizito. Kwa hiyo wakipata mwanaume wanatulia kweli, kwani kucompete na folk zingine hawawezi. Ila wapo wazuri wanatokea mmojammoja na wakitokea ni wazuri kweli. Mtoto kama Nsia Swai huwezi amini kama unatoka uchaggani aithe!

YOU WISH. . . .

Kama ndivyo mnavyojipa moyo ili na.nyie mjisikie mpo mpo kwenye chati poleni, tumejaaliwa kwanzia juu mpaka chini, muonekano mpaka bongo zinazofanya kazi kikamilifu. Nyie mlie tu.
 
YOU WISH. . . .

Kama ndivyo mnavyojipa moyo ili na.nyie mjisikie mpo mpo kwenye chati poleni, tumejaaliwa kwanzia juu mpaka chini, muonekano mpaka bongo zinazofanya kazi kikamilifu. Nyie mlie tu.

Mimi sijasema bongo zenu ni mbovu, inawezekana huko kwingine mko smart ila hukusu kujaa juu ni swala la kweli. Nakumbuka wakati nasoma demography chuo, kuna mwalimu alikuwa anafanisha population pyramid za nchi zilizoendalea na shape za wanawake wa kichagga. Na wala si kuwa tunawachukia wachagga, mimi mke wangu ni mchagga wa Marangu Rauya, yeye ni baadhi ya wachagga wachache ambao hawajajazaia juu kama wainua vitu vizito
 
Asante Candid kwa kuona upande chanya wa suala hili. Nimepata ahueni kuona kwamba kuna watu wanaowafikiria wadada wa kichagga kwa "angle" tofauti kuliko inayoaminika na wengi katika jamii tunayoishi sasa. Vijana wa siku hizi wameweka ngono mbele bilaa kujali utu wa mwingine. Unam-judge mtu kutokana na uwezo wake kitandani badala ya lile alilonalo moyoni. Na hii inatokana na kuendekeza mapenzi yasiyo ya kweli, kupimiana vifua na uwezo. kipimo kikuu kimekuwa ni jinsi gani mwanamke anaweza kuzungusha kiuno na kubiringika kitandani kwa staili zote akiwa na mwaanaume na hii si haki kabisaa. Siongelei waachaga tu peke yaake bali wanawake in general.heshima imeenda waapi? Yule aaliyetoa uzi kuhusu wanawake wa kichaga siku nikikutana naye lazima nimpige kofi moja tu wala si mawili moja kuweka sense katika akili yake. Lakini sidhani kama nitakutana naye. Uliyosema Candid ni kweli tupu labda itabadilisha mitazamo hasi ambayo jamii ya kitanzania hususan asilimia fulani ya jinsia ya kiume.

acha kuchezea kifo aliyeweka ni bonge la baunsa huwezi ata kupiga kofi tayari kashakumaliza
 
Mimi sijasema bongo zenu ni mbovu, inawezekana huko kwingine mko smart ila hukusu kujaa juu ni swala la kweli. Nakumbuka wakati nasoma demography chuo, kuna mwalimu alikuwa anafanisha population pyramid za nchi zilizoendalea na shape za wanawake wa kichagga. Na wala si kuwa tunawachukia wachagga, mimi mke wangu ni mchagga wa Marangu Rauya, yeye ni baadhi ya wachagga wachache ambao hawajajazaia juu kama wainua vitu vizito

Eti wachache. . . unaweza ukanipa uwiano ili nijue una uhakika na unachoongelea?
 
Candid nina maswali mawili kwako:
1.Umeoa?
2.If yes,umewahi ku cheat?
Swali la nyongeza:
Kama umeoa na uliwahi ku cheat,did you notice any difference katika mahanjam?
 
Eti wachache. . . unaweza ukanipa uwiano ili nijue una uhakika na unachoongelea?

Lizzy siwezi kuwa accurate kwenye uwiano, lakini najua umeelewa ninachomahanisha. Kama ww siyo mmoja wao, sio sababu ya kudefend ndugu zako
 
Lizzy siwezi kuwa accurate kwenye uwiano, lakini najua umeelewa ninachomahanisha. Kama ww siyo mmoja wao, sio sababu ya kudefend ndugu zako
Sina haja ya kudefend ndugu zangu kwasababu sina hata mmoja mwenye mapungufu unayoongelea. Nnachotaka ni wewe kuhakikisha huo "wingi/wengi" unaowaongelea.
 
Chaggaaaa, Chagaaaa, Ukilala Chaga, Ukaimka Chagga, Ukila Chagga, Ukienda Kuny.a Chagga hakuna Makabila Mengine?Mnanifanya Niikumbuke Rombo yangu jamani
 
Sina haja ya kudefend ndugu zangu kwasababu sina hata mmoja mwenye mapungufu unayoongelea. Nnachotaka ni wewe kuhakikisha huo "wingi/wengi" unaowaongelea.

Kwa kuwa sina hizo data kwa sasa, tufanye umeshinda, tutakutana kwenye skype tar 27/1/2012.
 
Kilichohangaikiwa shurti kiangaliwe kwa umakini.

Mwanzoni nlikua najitahidi sana kuwaambia watu aache kutumia maneno ya ajabu ajabu ila baada ya kuona hata wadada nao wanatumia nimeamua kutulia, alimradi tu nisije nikaitwa mimi personally.
dem wangu Lizzy hujambo?
 
EM. Umenena hasa. wenye masikio na busara za kutafakari wameipata. Hata kama watakuwa wanamaanisha kuwa mapenzi ni sex tu bado siyo kweli kwamba kila msichana wa kichaga hajui sex. kama wamekuwa wanabahatisha kukutana na wasiojua hilo siyo kwa wachaga tu bali kila kabila linawatu wa aina hiyo, hata hao wamakonde wanaosifiwa kwa hilo. Tuwape hadhi wasichana kwani wao ndo mama zetu ati
 
Nipo tofauti kabisa na mitazamo mingi humu....i have such experience kukutana na Chaga ladies, ukweli ni kwamba most ni ma-opportunist tu na si vinginenyo. Although hii haimanishi wadada wote wapo hivyo, lakini ukweli wengi wao wapo hivyo. Jambo lingine ni uongo uliokubuhu kudai wachaga si mafuska wala malaya, hii dhana baki nayo huko huko, ili kujua huu ni uongo, nenda Himo/ Njia panda uangalie majeneza yanayopelekwa migombani kwa mazishi ya waliokufa kwa ngoma. Na kwa taarifa tu ni kwamba most Chaggaz ni marimbukeni wa mapenzi sana asikwambie mtu, wapo wachache ambao katika eneo hilo wamestaarabika.
 
Candid nina maswali mawili kwako:
1.Umeoa?
2.If yes,umewahi ku cheat?
Swali la nyongeza:
Kama umeoa na uliwahi ku cheat,did you notice any difference katika mahanjam?
z

Ulimwengu wa kujua na kuchambua mambo ya kujamihiana na tofauti za wanawake wanavyoaact katika kujamihiana inawahusu wafanya ufuska, Wanaofanya ufuska ni wale ambao hawaridhii mapenzi na wake, ila kila kipitacho mbele yake ni dhahabu kwake. Iwe mtu ameoa au hata hajaoa cha msingi ni uaminifu katika maisha yake.

Wanaume nao wanachangia umalaya kwa wanawake. Ila lawama wanaachiwa wanawake kama ni malaya, je wanaume wakicha kutembea ovyo kwa kutafuta wanawake wengine na kubaki na wapenzi wao sidhani kama wanawake watajitosa mitaani kutafuta wakupa riziki kwa kubadilishana kufanya sex na chips mayai.

Swali unaloniuliza basically limeegemea kwenye ufuska jambo ambalo jibu unalo kutokana na comments zangu hapa.
 
Mi nazan wale mnaoenda nao ndo mna matatizo. Kwa nini hamuwafunzi wakati hakuna alozaliwa anajua?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom