Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

Status
Not open for further replies.
Pamoja na kuegemea upande wa negative aspect, lakini comment yako imejaa positive aspect ambayo inamjengea heshima msichana wa kicaga. Umeeleza kwamba wasichana wa kichaga ni waaminifu katika ndoa na hata akiwa na bf ni mwaminifu, hilo ni jibu sahihi na ndio hulka nzuri inayotakiwa kuigwa.

You are blabbing! Raha ya chungwa lazima ukatiwe!
Kwa comment yako umekubaliana nami kwamba hawa ni wastaarabu na wana mapenzi ya kweli tofauti na wale wafanya ufuska.

Si watu wote walikomaa misuli wanaokimbiza mipira pale stadium, ndo hao waliokomaa misuli ni wale tunaowaiga mitandaoni na wale wanazunguka na kujianika mitaani kuchukuliwa na kila mpita njia anamjua au hamjui ili mradi amelipwa ujira. Hao wa aina hiyo ndio wako tayari kukimbia uwanja mzima kuhakikisha goli linafungwa, maana bila goli kutinga wavuni dau hakuna au dau linashuka.

Nakupa pole ukioa msichana mwenye kuzoea mbio za maratoni, utajuta kuzaliwa, na ni wachache wanaoweza kukimbizana nao. Mwanariadha anahitaji mazoezi kila siku mchana na usiku ili aweza kumudu mbio za maathoni. Wastaarabu wana staha zao, heshima zao, kujali afya zao, huku kugeuzana na kupinduana kana kwamba samaki hajakauka upande wapi umgeuze akaushwe na upande mwingine tuwaachie wenyewe. Hivyo wasichana wa kichaga wana limit ya matanuzi ndo maana yake wanajali penzi na staha ya afya pamoja na ustaarabu wa kuheshimu miili yao.

Jamani natafuta msichana wa kichaga naona heshima itapanda zaidi, vinginevyo hawa wengine nitaishia kuutumikia mwili wangu katika madhaifu yake hata unikoseshe kufikiria nini nifanye kwa ajili ya kustaafu kwangu, maana ujana nao hutufanya kana kwamba maisha haya hayana mwisho, tunakuwa na upeo mkubwa mno wa mwelekeo wa matanuzi na maraha yasiyoisha. Ukipendelea hivyo matanuzi yasiyoisha yanaweza kukukodesha mtu hata ukakosa amani maana zaidi upatavyo ndivyo utamanisvyo.

You are blabbing! Raha ya chungwa lazima ukatiwe!
 
Wether u condemn them or not....as a chagga mæn i wil marry a chagga lady thats al!! Hutaki jus alienate uaself from this sphere!!
 
Hapa mie sioni cha kuanza kubishania

Kiukweli akinadada wa wakichaga si lolote inapofika mambo ya juu ya sita kwa sita/kitandani

Ubishi na kuzungusha maneno ni siasa tu. Kwani hao watu wanaishi mbinguni au sayari nyingine. Wanaishi duniani hivyo mambo yao yanajulikana pia eti labda kosa ni kuyaanika.

Kiukweli wanachojua zaidi hao watu ni chapaa/pesa/mshiko, kitandani ni SUFURI.
 
Mtoa mada ana uelewa finyu wa hii dhana ya mapenzi.

Namshauri kuhudhuria madarasa ya ndoa na kujielimisha juu ya dhana nzima ya mapenzi, vitu vinavyojenga penzi ktk maisha ya ndoa badala ya kulisha watu upupu.
 
Labda ni mwaminifu kwa aliye naye, msifundishe kutoka nje asije naye akaharibika
 
i will never get married with these people, i afraid them.

Wala huwez kuwapata kirahisi...una tembo card, una freelender new modern..una degree au zaid na kazi ya kuaminika..una shamba zaidi ya heka 2..WACHAGA ,madin adimu kama tanzanitr araha!!
Ukifanikiiwa kuoa mchaga,umeaga umaskini...kama huamin tuweke agreement au to bet.
 
Ooh mpenzi wangu wa kichaga wamemfagilia simuachi ng'o!! Ana maadili huyu mtoto hakika nitamuoa labda abadilike mwaka mmoja na nusu sasa!!!
 
Sex ina play part kubwa kwenye mapenzi. Naona mtoa mada anataka kulipinga hilo lakini huo ni ukweli usopingika. Iwe ni ndoa au wapenzi wa kawaida kama mmoja kati yao hana mwamko wa sex ndoa au uhusiano utayumba.

Ila hilo halina uchaga wala ukabila ni kwa wote. Source ya problems nyingi kwenye mahusiano ni mtu kuto enjoy sex (na wakati mwingine ni tokana na malezi na imani iliyomjenga kuwa sex ni dhambi, mwili ni hekalu la bwana n.k) na kuona kama ni dhambi; kitu ambacho mtoa maada amekisema implicitly.

Ukikuta mwenza wako ana mahitaji ambayo huwezi mtimizia; nadhani nyote mnajua what next!:juggle:
 
Wafanya ufuska ndio wanaojua tofauti ya wanawake au wanaume katika kufanya mapenzi. Wale waadilifu wanaopenda kutulia na yule ampendaye anavyojua kufanya ndivyo vile alivyozoea kufanya na ampendaye. Iweje aonje tofauti kama hana hulka ya kubadilisha wanaume au wanawake kama kanga zilivyozoeleka uswahilini kimiondoko leo nimvalie nani kanga hii?

Wenye kuelezea hiyo miondoko ya wacheza Chihoda ni wale wanaokuza mazoea ya kuchezea wasichana kwa ubembe kila kukicha kwambe upo naye kumbe yuko tu kutafuta minenguo ya kurithisha silika za mwili wake badala ya penzi la dhati. Na miili yao imekuwa jamvi la kukanyagwa na kila hayawani badala ya kuridhia mmoja wa kuaminiana naye, na kesho ukisha pakaziwa virus hata humjui nani aliyekutemea viluwiluwi hivyo kwa sababu ya ufuska wa kupita huku na kule kutafuta mastaa wanauuza minenguo badala ya ridhio la moyo.

Wasichana wa Kichaga wanajua moyo ukipenda badala ya hisia za nje tu
ambazo hazina ridhio la moyo ila ridhio la tamaa za mwili.
 
i will never get married with these people, i afraid them.

Ukiwa na malengo ya kumpata mke atakayetulia nawe na kuridhika nawe utapenda kumwoa msichana wa hulka kama ya wasichana wa kichaga, maana atakuwa ameridhika na kutulia nawe, nawe jitahidi kuwa flexable kuendana naye ndiyo siri ya kudumu kwa upendo wa wawili au wanandoa.

Kama mradi uwe na mpenzi au mke mwenye mguu moja ndani na mmoja nje nenda kawafuate hao wanenguaji utachuma matunda yaliyotokana na mbegu walizozikokotoa bila we kujua wakati wamekuzunguka upenuni mwa nyumba yako. Si unajua umahiri katika unenguaji hauji hivi hivi bila mazoezi kama wanariadha, anahitaji mazoezi kila siku na kila saa kujiweka sawa, na kwa utaratibu wa kupata mafunzo stahiki anahitaji mkufunzi ili awe mnenguaji mahiri kukuridhisha wewe, ndiyo unayotaka na kwa hilo kwa hao mastaa umefika watakuwezesha. Hapo baadaye ndipo utakapokumbuka majuto ni mjukuu utakapopata kulia na kusaga meno.
 
Umeona eeh. Anachukulia ndoa na mume/ mke mwema ni anayejua kuzisaka pesa.

Ndoa ni tendo; kama ni pesa waweza kuwa nazo hata ukiwa peke yako.
:A S 465:

Mtoa mada ana uelewa finyu wa hii dhana ya mapenzi.

Namshauri kuhudhuria madarasa ya ndoa na kujielimisha juu ya dhana nzima ya mapenzi, vitu vinavyojenga penzi ktk maisha ya ndoa badala ya kulisha watu upupu.
 
Umeona eeh. Anachukulia ndoa na mume/ mke mwema ni anayejua kuzisaka pesa.

Ndoa ni tendo; kama ni pesa waweza kuwa nazo hata ukiwa peke yako.
:A S 465:

Jaribu kufafanua kwamba ndoa ni tendo, tendo gani? Kwa wanaoona umuhimu wa kuridhia sex kama kigezo muhimu cha mapenzi hawaoni sababu ya kufungamana na mmoja. Kama maana ya ndoa si sex tu kuna kitu kingine zaidi ya sex ndicho kinachowaunganisha wawili for good, for life.
 
Kaulize wasuluishi wa ndoa sababu kuubwa ya ndoa kuvunjika ni nini, kama kuna atakaye kuambia ni mali.

Ngoja ni sign out!

Jaribu kufafanua kwamba ndoa ni tendo, tendo gani? Kwa wanaoona umuhimu wa kuridhia sex kama kigezo muhimu cha mapenzi hawaoni sababu ya kufungamana na mmoja. Kama maana ya ndoa si sex tu kuna kitu kingine zaidi ya sex ndicho kinachowaunganisha wawili for good, for life.
 
Endelea kufanya utafiti kama ukimwi haujakupata utatupa jibu sahihi hili si sahihi. yawezekana huyo uliyekutana naye ndiyo hajui mapenzi.

By midavudavu
 
kama wamachame wanavyobaki wajane ( KWA MAKUSUDI) na kumiliki mali za waume zao ndio MAPENZI???
 
Bado tu mnaendelea? Ngoja nihame kabila!!

Mbona ingekuwa rahizi hivyo wengi wangefanya, lakini waliojaribu kubadilisha kwa kuhama wamejikuta ni wale wale hata wavuke bahari au continent. Umenitunisha mbavu leo nimebaki kushikilia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom