Hoja dhidi ya Hoja: Maswali Sahihi Huleta Majibu Sahihi: Tatizo la Kudhania Kutoonekana kwa Magufuli

Wapo ambao leo wakisikia sauti yake redioni, "hai" isiyo ya rekodiwa, watasema ni Baraka Magufuli. Dawa yao ni kigae cha msauzi tu. Usingizi mnono, hata inyeshe ya mawe!
 
Halafu wahuni hawa hata hawajui kuwa watu walishawadharau!! Tanzania tuko vizuri na tunachapa Kazi! Hawa wanaouliza Rais yuko wapi huenda wanataka kumwomba pesa!! Wavivu hawa! Wameambiwa Rais yuko vizuri na anachapa Kazi lakini hawataki kuamini!! Wamechagua kutokuamini hata wakimwona hawataamini!! Watasema ni msukule!!
Vile ndiye wewe yule anayejiita mwanasayansi?
 
Hivi Makamu wa Rais mbona kama ameshajibu hii?

" Ni kawaida binadamu kukaguliwa; mara mafua, mara homa, mara chochote kile...."

Labda tumuulize zaidi, yeye binafasi kamuona lini Mh Rais kwa mara ya mwisho? Hizo "salamu" anazotumwa kufikisha, anapewa ana kwa ana, kwa simu au kwa maandishi?

But nafikiri tufike mahali tuwaamini viongozi wetu. Tumewapa dhamana na madaraka makubwa.
 
Ili kuondoa hali ya udhanifu na kupata majibu sahihi maswali yanatakiwa ya ulizwe hivi:-

1. Kwanini Muheshimiwa Rais haonekeni hadharani kwa siku kadhaa Kama ilivyozoeleka?
 
Hii ni kwaresma watu wako mlimani!

Na majizi ya kura nayo yanapanda huko mlimani?

NB: nje ya mada, leo niko nje ya Dar kwa ajili ya mazishi. Huku nilipo umeme umekatika toka saa moja. Jana nilikuambia yule mama anapiga porojo mfu kuhusu umeme kutokukatika.
 
Cha kushangaza ni kwamba wanaoulizia Rais aliko ni walewale waliotuambia yuko nairobi hospital, ni walewale waliotuambia yuko kati ya sehemu mbili🙄 india au china 🤔🤔

Yohane johnthebaptist hawa watu tuwaiteje!?
Tumia jina ulilotumia kwa wale waliosema watagawa 50m@kijiji.
 
Back
Top Bottom